Wadau
Kama mtakumbuka mwaka huu mwanzoni nilileta hapa post ikisema:-Umechelewa Kuleta Posa.
Wataalamu watauweka hapa ili kujikumbuka, Sasa juma mosi ya juzi nilipata ujumbe mfupi wa simu...
Najuta kuoa familia hii, baba yangu alinitahadhalisha kabla ya kuoa lakini mimi nikasema ni maneno tu ya watu.
Huyu binti niliyemuoa mimi ni wa mwisho katika familia yao, kwao wapo wanawake wote...
Kina dada hili swala la kutongozwa mnalichukulia vp, mwanamke ni asili yake kutongozwa?
Kwa sababu nilishakaa na kusikiliza maongezi ya kinadada wengi once anapokuwa anakosa mtu anaemtokea l mean...
Ni jambo jema sana siku izi ata wanawake wameanza kutongoza wanaume wanaowapenda.
Nasema ni jambo jema kwa sababu ya kupunguza jinamizi LA mfumo dume.
Kutongoza ni sanaa tam sana ukikuta mtu...
Maisha na huyu mke wangu yamenishinda kabisa, ila bado nahitaji mahusiano na mwanamke. Natafuta mwanamke ambaye hana mume kwa sasa umri above 27yrs ili tuanzishe mahusiano, umri wangu ni >27 <...
Habari zenu wakuu
Kuna huyu shemeji yangu (mke wa rafiki yangu) akifanywa kitu chochote yeye analia. Mfano akifanya kosa, jamaa akijaribu kumkanya analia, akiambiwa kitu chochote hata kama ni...
Ni ndugu yangu huyu mwanamume, ilikuwa hivi.
Kuna baba mmoja anakaa maeneo huko walipo (Mombasa) Dar, wote Mume na mkewe Ofisi zao zipo posta mpya Dar, sasa jamaa (Mgoni) kila siku saa kumi...
Muda mfupi uliopita nilikuwa kwny kituo flani cha polisi kushughulikia dhamana ya rafiki yangu aliyekuwa amewekwa ndani baada ya kumgonga mwendesha pikipiki, sasa wakati tupo nje na jamaa wengine...
Wanajamvi
Bila kupepesa macho, wanaume tunatamani tuwe na wanawake wengi kufuatana na tamaa zetu, hila wanaume sisi hatupendi tuitwe malaya, kwa kawaida vijiwe vingi wakutanapo watu baada ya kazi...
Habari zenu wadau, nina mpenzi ambaye tuna mwezi tokea tulipoanza kujuana.
Juzi jioni alileta mwanaume mwingine katika chumba chake na alilala na akaondoka asubuhi.
Niligundua asubuhi baada ya...
Wana Jamiiforums
Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa...
Habari zenu wenyeji wa jukwaa hili.
Nimekuwa najiuliza sana kwa miaka mingi swali hili.
Wanaume au wavulana wengi sana kama sio wote huwa hawafurahii, hukasirika na hawapendi kabisa kuona...
Wasalaam wana bodi ni matumaini yangu mu bukheri wa afya.
I remember it started early this year when my last relationship broke, naita last coz i never had another serious relationship ever...
Mimi ni mvulana wa miaka 26.
Nina elimu ya kawaida, Shughuli zangu ni Biashara na ufundi.
Ni mkristo,natamani kuoa ila bado sijampata mwenye target kama zangu that way nko hapa kutafuta mwenye...
Wana MMU, nina jambo kwangu mimi limenikwaza sana . mpenzi wangu amepanga kwenye nyumba yenye master bedroom moja, sitting room na jiko.
Week iliyopita hapa mpenzi wangu kanipigia simu...
Kisa live kama ingeweza kuficha sura ningeweka picha ,ni wapenzi walnaoonyesha wamevumialiana kwa siku nyingi,ila kuna mmoja mambo yamemshinda ,kisa hawalingani kwa kimo ,mmoja ni mrefu ile mbaya...
Mi ni kijana wa miaka 28 Niko dar natafuta marafiki wa kike ambao tutakua tunachat na kubadilishana mawazo.
Yule nitakae endananae tunaweza ata kua wachumba au wanandoa.
Lakin tunaanza na...
Habari wana jf.Mimi ni mgeni humu ila napenda kushea hili nililo nalo ili nipate ushauri zaidi. Nina rafiki yangu ambaye ana mchumba wake wanatarajia kufunga ndoa mwezi ujao ila tatizo ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.