Simwelewi huyu msichana

Simwelewi huyu msichana

KUNI

Senior Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
140
Reaction score
299
Hivi inakuwaje umepata msichana ambaye hamna muda mrefu kama wapenzi na haujawahi kumwomba tunda.

Lakini kila ikitokea labda mmekwaruzana kidogo anajitetea kuwa anabehave tofauti kwa sababu anajihisi mwenye hatia kwa kuwa ana hofu ya kupoteza bikra yake.

Au anaweza kusita hata kupokea zawadi mpaka ahidiwe kuwa hataharibiwa bikra yake.

Mchango wenu tadhali
 
hana bikra huyo, anakupa mchecheto tu.na haji kukupa tunda maana utagundua alikuwa anakudanganya ana bikra akati hana.
 
Kwao wanakufahamu...? Msichana una malengo nae gani...?
 
Hivi inakuwaje umepata msichana ambaye hamna muda mrefu kama wapenzi na haujawahi kumwomba tunda.

Lakini kila ikitokea labda mmekwaruzana kidogo anajitetea kuwa anabehave tofauti kwa sababu anajihisi mwenye hatia kwa kuwa ana hofu ya kupoteza bikra yake.

Au anaweza kusita hata kupokea zawadi mpaka ahidiwe kuwa hataharibiwa bikra yake.

Mchango wenu tadhali

Hii topiki ya kitoto sana. Peleka kule facebook. JF ni jukwaa la heshima. Kama huna topiki ya maana, tulia kimya. Soma michango ya wenzako
 
Hivi inakuwaje umepata msichana ambaye hamna muda mrefu kama wapenzi na haujawahi kumwomba tunda.

Lakini kila ikitokea labda mmekwaruzana kidogo anajitetea kuwa anabehave tofauti kwa sababu anajihisi mwenye hatia kwa kuwa ana hofu ya kupoteza bikra yake.

Au anaweza kusita hata kupokea zawadi mpaka ahidiwe kuwa hataharibiwa bikra yake.

Mchango wenu tadhali

kiaje sijaelewa!!!
 
1: Hakikisha ukiongea nae, hamsogeleani hata kidogo.
2: Hakikisha ukinunua zawadi unamtumia kwa njia ya posta
3: Hakikisha haji getho kwako hata kwa dawa.
4: Hakikisha unamwambia kuwa wewe pia ni bikira

Ukifanya hayo, bikira zenu zitadumu.
 
Mnaanza lini mitihani ya kumaliza kidato cha nne!!!??
Hivi inakuwaje umepata msichana ambaye hamna muda mrefu kama wapenzi na haujawahi kumwomba tunda.

Lakini kila ikitokea labda mmekwaruzana kidogo anajitetea kuwa anabehave tofauti kwa sababu anajihisi mwenye hatia kwa kuwa ana hofu ya kupoteza bikra yake.

Au anaweza kusita hata kupokea zawadi mpaka ahidiwe kuwa hataharibiwa bikra yake.

Mchango wenu tadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom