Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,424
- 8,046
Haloo wana jf, happy new year, aa sorry kumbe mwaka bado haujaisha! Nimeshawahi kuskia wanawake waliozaa wanafurahia zaidi mapenz kuliko ambao bado hawajazaa na pia ni rahisi sana kukojoa wala hawasumbui sana kumfikisha kunako kilele, je hili lina ukweli wowote? Wanawake wapenzi wa jamvi hili tupeni ukweli wa hili. Mimi binafsi nahisi kuna ukweli kidogo kutokana na chochoro zangu nnazopitaga.