Mwanamke yeyote akikupa mara moja, hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
Nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano na mwanamke kabla ya kuolewa/ akiwa ndani ya ndoa yaani mmekuwa mnamegana, na kuachana kwa sababu nzuri tu, labda kaolewa kahamia mbali, au kahamishwa kazi then akaja olewa au ulishalala na mwanamke mara moja na hamjagombana siku yeyote ukimwomba hawezi kukunyima, so wanaume watalaam wa mapenzi ni vigumu kugombana na wanawake wanajua siku moja wataonana na kupewa as usual, awe ameolewa au single ili mradi upate SIKU MOJA then siku zijazo hakuna kutongoza, just make a call na kupanga time utapewa, kumbe ni kale ka aibu kama mwanzo tu mimi nimeshanoa panga uone.
 
Of course ile aibu inatoka first day, inakuwa rahisi kukupa next days ahead, ila kama ulivyosema, je mliachana/ kutengana/kutoonana kwa muda mrefu kwa amani? kama ndio basi utapewa i hope kwa more than 75% wachache sana watasema no au atasema bana mm nimeolewa siku hizi sifanyi mambo ya zamani, very few,au labda hali ya mwanume iwe mbaya kiuchumi
 
Aaahh... nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano
na mwanamke kabla ya kuolewa/ akiwa ndani ya ndoa yaani mmekuwa mnamegana, na kuachana kwa sababu nzuri tu, labda kaolewa kahamia mbali, au kahamishwa kazi then akaja olewa au ulishalala na mwana mke mara moja na hamjagombana siku yeyote ukimwomba hawezi kukunyima, so wanaume watalaam wa mapenzi ni vigumu kugombana na wanawake wanajua siku moja wataonana na kupewa as usual, awe ameolewa au single ili mradi upate SIKU MOJA then siku zijazo hakuna kutongoza , just make a call na
kupanga time utapewa, kumbe ni kale ka aibu ka mwanzo tu, aiseeeeeeeee, mm nimeshanoa panga ole.
Hapana hii asilimia 75 sio sahihi kuna wachache wanatoa lakini wengi wakiolewa sahau labda agundue mumewe anauza mechi atakupa kumkomoa.
 
Hivi mbona mnatuonea sna wanawake jamani!! Mwanamke anaeheshimu ndoa yake na mumewe sidhani kama anaweza kufanya kitendo kama hicho kwenda kuchakachuliwa na dume lingine...
Kma kuna mwana JF na umefanyiwa hivyo na mkeo bas jua wewe sio RIJALI!!:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
 
Sasa hii inatisha maana tunaoa wake wameshapitia o level, A level na vyuo, bado sehemu alizotembelea jumlisha na nyumbani kwao, kote huko pengine alikuwa na wapenzi tofauti na waliachana si kwa kugombana bali kwa vile shule/chuo wamemaliza kila mtu anarudi kwao. Hapa mimi pressure inapanda, pressure inashuka, ok napotezea kwani hata mimi huwa natoka nje ya ndoa bila wife kujua ila mara chache chache sana.
 
Hapo ndo ujue kuwa demu ni wako tu pale uwapo naye wewe. Na wajuavyo kuhifadhi siri hawa viumbe...tehtehteh...mzee mzima huenda ushamegewa. Natania tu maana usije ukarudi nyumbani na kumuwakia mamsapu wako.
 
maji hayasahau ubaridi
 
Maji hayasahau ubaridi, hii inawezekana japo si wengi kiasi hcho. Wanawake wakishaolewa wengi wanajiheshimu sana.
 
Hivi mbona mnatuonea sna wanawake jamani!! Mwanamke anaeheshimu ndoa yake na mumewe sidhani kama anaweza kufanya kitendo kama hicho kwenda kuchakachuliwa na dume lingine...
Kma kuna mwana JF na umefanyiwa hivyo na mkeo bas jua wewe sio RIJALI!!:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:

Nasikia ukimkuta kaolea au ana BF mwingine na alikuwa kipenzi chako miaka kadha imepita
ww mwambie eehhhh kaaaahhh umependeza huyo jamaa kakupa nini? utaona kafurahi then unaanza sasa then direct, plse nimekumiss yaani basi tu, mara unajua mzee/ BF mkali,
then unamwambia ebu chukua hii fedha kidogo ya matumizi kesho nipigie tukutane wapi? ndio tayari hivyo
 
kaka huyo uliyemuencounter ni low life......
 
hivi mbona mnatuonea sna wanawake jamani!! Mwanamke anaeheshimu ndoa yake na mumewe sidhani kama anaweza kufanya kitendo kama hicho kwenda kuchakachuliwa na dume lingine...
Kma kuna mwana jf na umefanyiwa hivyo na mkeo bas jua wewe sio rijali!!:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:

hakuna anaye kuonea hapa as a woman. Hizo ni pending jobs ambayo mnatakiwa kuzimalizia. Unajua mwanamke hafanyi nanihi na mtu asiyo mpenda toka moyoni. Kwa hiyo hayo jamaa kuja kutoka ni kazi akiuona anakumbuka, wengine hata usiku hawalali, au anaweza kukulaki mbele ya mume yake hata kama itakuwa ni disaster.

Suluhisho ni hii wanawake kuwa makini, subiri, olewa na mwonyeshe siri yako mutu mumoja tuu as your husband na ile mkunga,full stopi. Sasa hii gawagawa inawatesa, na itaendlea kuwa tesa.
 
hakuna anaye kuonea hapa as a woman. Hizo ni pending jobs ambazo mnatakiwa kuzimalizia. Unajua mwanamke hafanyi nanihi na mtu asiye mpenda toka moyoni. Kwa hiyo hao jamaa kuja kutoka ni kazi aki=uona anakumbuka wengine hata usiku hawalali, au anaweza kukulaki mbele ya mumewe hata kama intakuwa ni disaster.

Suluhisho ni wanawake kuwa makini, subiri, olewa na mwonyeshe siri zake mtu mmoja tuu as your husband na yule mkunga,full stopi. Sasa hii gawagawa inawatesa, na itaendlea kuwa tesa.

Kama gawagawa inawatesa akina dada na akina kaka GAWIA GAWIA inawatesa pia mjomba.
 
ni tabia mbaya hata kwa wanaume kungangania mke ya mtu, heshimu ndoa kwa jamaa yako. Ya kale yamepita tafuta mengine, wanawake imejaa tele.
 
Kama gawagawa inawatesa akina dada na akina kaka GAWIA GAWIA inawatesa pia mjomba.

Ni kweli lakini kumbuka wanaume inapenda kwa macho, hata mwanamke asiye mpenda inaweza lala naye, lakini mwanamke yenyewe kwake sivyo inapenda kwa moyo. ni kama kuruhusiwa kuingia nyumbani ya mtu. hakuingizi hivihivi na ukisha ingia kutoka kazi, hadi sululu zitumike.
 
That is very true...kuna demu mmoja alitembea na mume wa rafiki yangu, mpaka Leo anaingilia ndoa Yao kwa kujifanya eti they're friends, wakati bado biashara inaendelea. Wakati Huyo demu kaolewa na mmarekani mweusi. Hizi tamaa hizi....mbali na hapo, Huyo demu ni mgawaji mzuri wa chini chini
 
Nyanzala wangu unasikia ushuhuda huuu...we haya tu..ngoja niende box tutaongea baadaye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom