Mke muislam anahitajika

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
399
195
Habari zenu wana jukwaa,mimi kijana wa miaka 21,nimejiajiri natafuta mchumba wa kiislam ambae atakuja kua mke wangu umri wake ni 18-24,awe anaejielewa na mchapa kazi kama ukijiona unazo sifa unakaribishwa 0656899091.NB:ni kwa walio na huitaji tu,pia kama ujaelewa pita waaache watakaoelewa asanteni sana
 

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
21,690
2,000
Naona Vijana Wa Kiislamu Mmeamua. Ila Muwe Mnapita Na Masjid Kule Wapo Wengi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom