Msaada wa mawazo yenu unahitajika, housegel wangu analeta hatari

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,418
7,740
Habari zenu wana jf,
Iko hivi, kuna binti wa kazi tunaishi nae yapata miezi 6 sasa ana miaka 20 hivi na ana mtoto wa miaka 4 pia ana undugu wa karibu kiasi na mke wangu na alikulia kwao hd anapata mimba, nilimfaham kabla wakati nikiwa na mahusiano na mke wangu na yeye wote waliishi kwa dada yao aliekua ameolewa na huyu ambae ndio hg kwa sasa alitokea kunizoea sana km shemeji yake tukawa tunachati kwa kawaida tuu na utani mwingi maana ana utani sana hasa baada ya kugundua dada ake ana mimba yangu hata baada kumchukua dada yake kuja kuishi kwangu bd tulikua tunawacliana,
Cku moja akanitania kua anamwonea wivu sana dada yake kwa kuzaa mapacha na anapenda kweli nae cku moja azae mapacha na cku ikifika akihitaji kuzaa atanitafuta nimpe mimba, nikamjibu ucjali mii nikijua ni utani.
Sasa baadae tukawa tuna shida ya hausegel baada ya aliekuepo mwanzo mke wangu kumrudisha kwao kiana kwa kuhisi ni mzuri sana nisije kumtaka na mwingine aliefuata utendaji wake haukua mzuri tukamrudisha pia, mke wangu akaniambia tumchukue huyu ndg yao ambae wakati huo alikua kijijini hana kazi, baada ya kuja nikawa siriaz na utani nae nikaacha japo anajaribu kunitania lkn simpi ushirikiano.
Sasa hivi ameanza tabia ya ajabu nikikutana nae jikon au korido akiwa na kanga 1 hujidai kuifungua na kuifunga huku hana hata chupi, juzi kaniambia eti anakumbushia ombi la kuzaa na mm anataka nae azae mapacha nikamwambia acha utani akasema yuko siriazi hatanii na sasa hivi ana hamu sana ya kuzaa na anataka nimpe mimba kuhusu malezi nimwachie yeye wala hatanisumbua kwa hilo,
Jana jioni nikaingia chumbani kwake kuangalia kabati la nguo lililiwa na mchwa kujua limeharibika kiasi gani mara nae kaingia nilivaa taulo lkn ndani nimevaa bucta akaniuliza ndio umekuja? cjakaa sawa kavuta taulo nikabaki na bukta nikamwangalia kwa ukali sana akatupa taulo kitandani akatoka nje, nikabaki na butwaa tuu kumwambia mke wangu nashindwa nianzie wapi maana ni marafiki sana yaani tunaishi nae kama sio hausgel na nashkuru anawalea vizuri sana wanangu na anawapenda na wanampenda pia lkn tatizo ndio hili upande mwingine ana kasoro hii, asubuhi hii kaniandikia sms akisema anapenda sana jinsi anavyoishi na sisi na mm ndie ntakaemfanya azidi kufurahia kuishi kwangu na kulea watoto vizuri cjamjibu chochote na wanangu ndio wana mwaka sasa.
Nashindwa kumwambia mke wangu hii tabia yake maana cdhani kama ataamini maana ni marafiki sana.
Nimfanyeje huyu hausegel au nimwambie mama wawili?
Ushauri wenu muhimu sana kwangu.
 
Sasa wewe ulanzaje ukaribu mpaka mkafikia huko?mambo mengine tunajitakia wenyewe kwakweli mtu anakuambia anataka kuzaa na wewe wakati ukifika ukakubali ili hali ukijua una mke leo anataka ndo ule wakat alio kuambia ukifika ndo umefika mpe hao mapacha si mlikubaliana? unaendaje chumbani kwake na taulo et kukagua kabati kwanini usiende na mkeo mkague wote? sema unamtamani upige ila unapata kigugumizi muuaji wa ndoa yako ni wewe usije ukamtafuta mchawi, kwanza inaonyesha una mate,na mkeo hakuamini ndo maana hata yule wa kwanza mkeo alimuondoa ili kulinda heshima yake angekuwa anakuamini wala asingehangaika naye!
 
Ulifanya kosa mwenyewe huna wa kulaumu, msaidieni tu tatizo lake kumbuka nae ni binadamu
 
Tumia akili mkuu, kwanza anakipato gani chakusema watoto atawalea mwenyewe? au ndomnataka kuongeza ombaomba? Pili nini kitatokea baada ya mkeo kujua? ukishajijibu fanya maamuzi.
 
the-amount-of-stupid-posts-is-too-damn-high.jpg

[h=3]Ushauri unahitajika, nitaepukaje hili?[/h] Started by Samboko, 31st July 2014 21:02

[h=3]Ni kweli unaweza kutambua maumbile ya mtu kwa kumwangalia??[/h] Started by Samboko, 18th June 2014 07:19
[h=3]Niko njia panda mwenzenu, nisaidieni tafadhali.[/h] Started by Samboko, 2nd January 2013 05:36
[h=3]Ni kweli wanawake waliozaa wanafurahia zaidi?[/h] Started by Samboko, 29th December 2012 23:28
[h=3]Ana hamu iliyopitiliza hadi namwogopa![/h] Started by Samboko, 19th December 2012 22:40
 
........................................ Jana jioni nikaingia chumbani kwake kuangalia kabati la nguo lililiwa na mchwa kujua limeharibika kiasi gani mara nae kaingia nilivaa taulo lkn ndani nimevaa bucta.............
Ushauri wenu muhimu sana kwangu.
umeingia na taulo chumbani kwa shemeji yako? Tena ukiwa unajua huyo shemeji mwenyewe macho juu juu!

Wewe tayari una lengo ovu, umeleta ukuda wako ili tukupe "GO AHEAD" zetu! Hivi una umri gani wewe!
 
mkuu hiyo ni karambasi kama sio ttz na kama unampenda mkeo ni kheri uchepuke na lakin sio kuzaa tena uchepuke mara moja sio ufanye ndo chakula unaweza kuwa kiongozi wa kuhari ndoa yako bure na beki tatu mwenye sidhani kama amefikia hadhi ya mkeo maan swala la kuo haliji tu kwa kurupuka lazima umejipanga na mmeridhiana nafikiri soln wew ni kujiweka mbali nae kama hutaki mkeo ajue lakin mficha maovu kilio humfika ni kheri ukatulia na mkeo
 
the-amount-of-stupid-posts-is-too-damn-high.jpg

[h=3]Ushauri unahitajika, nitaepukaje hili?[/h] Started by Samboko, 31st July 2014 21:02

[h=3]Ni kweli unaweza kutambua maumbile ya mtu kwa kumwangalia??[/h] Started by Samboko, 18th June 2014 07:19
[h=3]Niko njia panda mwenzenu, nisaidieni tafadhali.[/h] Started by Samboko, 2nd January 2013 05:36
[h=3]Ni kweli wanawake waliozaa wanafurahia zaidi?[/h] Started by Samboko, 29th December 2012 23:28
[h=3]Ana hamu iliyopitiliza hadi namwogopa![/h] Started by Samboko, 19th December 2012 22:40

Ha ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha ha
aiseee
aibu naona mimi
 
Ikimbie zinaa pepo wa ngono kakuingia na ukilala naye lazima avunje familia na atakutesa mpaka ujute think big tamaa uishinde
 
the-amount-of-stupid-posts-is-too-damn-high.jpg

[h=3]Ushauri unahitajika, nitaepukaje hili?[/h] Started by Samboko, 31st July 2014 21:02

[h=3]Ni kweli unaweza kutambua maumbile ya mtu kwa kumwangalia??[/h] Started by Samboko, 18th June 2014 07:19
[h=3]Niko njia panda mwenzenu, nisaidieni tafadhali.[/h] Started by Samboko, 2nd January 2013 05:36
[h=3]Ni kweli wanawake waliozaa wanafurahia zaidi?[/h] Started by Samboko, 29th December 2012 23:28
[h=3]Ana hamu iliyopitiliza hadi namwogopa![/h] Started by Samboko, 19th December 2012 22:40

Asante kumuumbua kumbe anatuchezea akili huyu
 
Sasa wewe ulanzaje ukaribu mpaka mkafikia huko?mambo mengine tunajitakia wenyewe kwakweli mtu anakuambia anataka kuzaa na wewe wakati ukifika ukakubali ili hali ukijua una mke leo anataka ndo ule wakat alio kuambia ukifika ndo umefika mpe hao mapacha si mlikubaliana? unaendaje chumbani kwake na taulo et kukagua kabati kwanini usiende na mkeo mkague wote? sema unamtamani upige ila unapata kigugumizi muuaji wa ndoa yako ni wewe usije ukamtafuta mchawi, kwanza inaonyesha una mate,na mkeo hakuamini ndo maana hata yule wa kwanza mkeo alimuondoa ili kulinda heshima yake angekuwa anakuamini wala asingehangaika naye!

Kweli kuna kosa nipifanya lkn kumbuka huyu hs a.k.a shemeji ana utani sana ndivyo alivyo na kuna mengi alishanitaniaga lkn ckuyaweka hapa na alivyokuja kuanza kazi alibadilika kdg lkn sasa km kawa ila cmpi ushirikiano sana kwenye utani wake
Kuingia chumbani kwake sio ajabu kwetu maana kama mchana watoto wanalala chumbani kwake kwa hy kwetu ni kawaida
Kuhusu hausgel aliendoka kalikua kazuri kweli na kalikua mapepe ndio mana wife alipata mashaka nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom