Maharusi waoana ndani ya bwawa la maji

Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
8,847
8,832
Dunia bado inaendelea na kila mtu anajitahidi afanye kitu cha pekee na kutengeneza historia, na hawa nao wamekuja na ya kwao wakaamua kufanyia harusi ndani ya maji yaani chini ya bwawa

Bi Dorota Bankowska mpiga mbizi mzoefu aliolewa na mpenzi wake ambaye ni mwalimu James Abbot nyumbani kwao mjini Plock , Poland mwezi jana lakini akataka sana kufanya jambo la kipekee wanakoishi kama ishara ya kusherehekea harusi yao.


Bi harusi alivalia gauni nyeupe huku bwana harusi akivalia sketi ambayo huvaliwa na waskochi ijulikanao kama 'Kilt'.
Maharusi hao waliungana na marafiki wao Ala Bankowska na Charlie Cran-Crombien chini ya maji hayo.
Sosi: BBC

Mtaalamu atusaidie kuzoom hizo picha
 

Attachments

  • 141124162628_harusi_maji_1.jpg
    141124162628_harusi_maji_1.jpg
    93.5 KB · Views: 307
  • 141124162628_harusi_maji_2.jpg
    141124162628_harusi_maji_2.jpg
    41 KB · Views: 253
Back
Top Bottom