Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
habari zenu wapendwa
nadhani si mara yangu ya kwanza kujitokeza mele yenu na kuomba ombi hili,nakumbuka hii ni mara ya tatu, nia yangu ni kupata mpenzi wa roho,mwanaume tutakae match tabia,mwanaume atakae jali hisia zangu
mimi ni muislam,ninamiaka 21
nahitaji muislam mwenzangu age yake 27 -30
kama upo interested na mimi waweza ni pm