Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Hivi unajiskiaje pale bosi anapomfokea gf/bf wako kazini? mko kampuni moja tuseme
Hivi unajiskiaje pale bosi anapomfokea gf/bf wako kazini? mko kampuni moja tuseme
Kuna jamaa wametumiana sana enzi zetu ila kila mmoja anamwona mwenzie mdoli...mapenzi ya shule/kazini yana consequency zakeNdo maana sipendi hayo mambo, wala sikupenda wakati nasoma mara uchapwe au kiboyfriend kichapwe nakiona aah aibu tu awe mbali ili niwe huru
Ndo maana sipendi hayo mambo, wala sikupenda wakati nasoma mara uchapwe au kiboyfriend kichapwe nakiona aah aibu tu awe mbali ili niwe huru
Si nawewe unamkata kidaf bosi teh
hahahaha...basi kuna jamaa hapa ofisini boss alikua anamtokea demu wake....eti jamaa akaanza bifu na boss.....haikupita mwezi jamaa akaamishiwa Sumbawanga, demu kabaki ofisini na boss pamoja na sisi wengine tunajilia tu. Dah.Kuwa bos raha jamani.
Mmmh huyo boss ni eeeh!!????
Matamu balaa
maneno yako yanafanana na picha yako[/QUOTE
jamani athante
maneno yako yanafanana na picha yako[/QUOTE
jamani athante
Kusifiwa tu kidogo meno yote ishirini na nane nje!!
Wanaume tunakazi
Kusifiwa tu kidogo meno yote ishirini na nane nje!!
Wanaume tunakazi
Si unajua wanawake tunapenda kusifiwa