Wakazi wa uswahilini utawajua tu kwa lugha zao.
Mtu anaingia mkoa mgeni anawaza kutembea vichochoroni tu!
Kama wewe sio kibaka....
Kesho naingia dodoma,nahitaji mrembo yoyote singo aliyekamilika vizuri awe mwenyeji wangu wa kunionyesha vichochoro vyote vya dodoma tuweze kufurahi aliye serious anipm
hapo atakamatikaEm weka ID yako ya zamani kwanza
una mkwanja wa kutosha au ndo unataka upelekwe vichochoron kule kwa bei rahis
karibu sana nko tayar bt uwe na mkwanja wa kutosha.mji wa kibunge huu kila kitu bei juu....
Acha kamba ,,,,,,kuku na ndizi choma bei rahisi sana bila kusahau usafiri ni bei rahisi sana kuanzia tax mpaka bajaji.
Mpeleke kijana sehemu mbalimbali
Usisahau kumshusha pale kito kwa masawe awakatie nyama choma safi ya kwapa au masingiri,,,, mwambieni dokta amewaagiza mpeni salamu zangu.
Wewe ni mwenyeji pande zipi nikudadavulie info za viwanja hapo ulipo.hahahaaaaa daaaaa jf inanipa raha mimi duuu uko mwenyej sana pande hizo eeee
Wewe ni mwenyeji pande zipi nikudadavulie info za viwanja hapo ulipo.