Kweli mazoea mwanzo wa dharau

Kweli mazoea mwanzo wa dharau

Amo1

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
1,753
Reaction score
2,881
Nashindwaga kuelewa watu wakishaingia katika ndoa na kuzoeana upendo ule ambao ulikuwepo mwanzo hupotea na dharau huchukua nafasi hivi hii kitu huletwa na nini au inaweza kuwa ni mazoea yaani kuzoeana kwa sababu mnalala kitanda kimoja, mnaishi pamoja.

Unakuta yale maneno ya mahaba kabla ya kuoana yanapotea mkishaoana ubabe unatawala yaani hata mwanamke kama alikuwa anakuheshimu heshima inapungua hivi huletwa na nini?
 
Sasa wenzi gani wazuri nichepuke huko
 
ufafanuzi tafadhali hapo penye 'sio sana...'

chanzo cha dharau unaweza kuwa ww mwenyew mwanaume,, mnaweza kuwa mnapendana lakn mwanaume ukshindwa kujitambua na kutumbua thaman ya mkeo pamoja na heshima kwa mkeo hapo lazma atakudharau..

Mwanamke ni kiumbe chenye kupenda majaribu mara nyingi pasipo kujali kuwa anakupenda au hakupendi..
Ataleta vijimambo ili tu akupime upo kwenye msimamo gani?

Sasa mrejesho wako ndio unafanya akudharau au akuheshimu..
 
Tunarudi palepale mkuu kwenye pointi yangu...utofauti ni kwamba niliamua kuandika kwa kifupi tu...

Walioandikiwa kuwa pamoja si kwamba hawakwazani lakini hurudi square one kwa haraka mno na makwazo huwa historia...

chanzo cha dharau unaweza kuwa ww mwenyew mwanaume,, mnaweza kuwa mnapendana lakn mwanaume ukshindwa kujitambua na kutumbua thaman ya mkeo pamoja na heshima kwa mkeo hapo lazma atakudharau..

Mwanamke ni kiumbe chenye kupenda majaribu mara nyingi pasipo kujali kuwa anakupenda au hakupendi..
Ataleta vijimambo ili tu akupime upo kwenye msimamo gani?

Sasa mrejesho wako ndio unafanya akudharau au akuheshimu..
 
chanzo cha dharau unaweza kuwa ww mwenyew mwanaume,, mnaweza kuwa mnapendana lakn mwanaume ukshindwa kujitambua na kutumbua thaman ya mkeo pamoja na heshima kwa mkeo hapo lazma atakudharau..

Mwanamke ni kiumbe chenye kupenda majaribu mara nyingi pasipo kujali kuwa anakupenda au hakupendi..
Ataleta vijimambo ili tu akupime upo kwenye msimamo gani?

Sasa mrejesho wako ndio unafanya akudharau au akuheshimu..

ndio maana wenzetu wale wa trm mwanamke akileta dharau wanampiga mmmh its good idea!
 
hayo ndo matatizo ya kukimbilia ndoani bili kujuanna vizuri

Kuna watu wanajuana nje ndani.....wanapika na kupakua lakini ndoa zinasumbua vilevile. Cha muhimu ndoa inatakiwa ijengwe katika misingi ya ki-Mungu tangu mwanzo wa uchumba....hakika huwezi kujuta
 
unajua kwamba hata waliookoka ndoa zao zinamatatizo vilevile sema tu hawayaonyeshi kwa kuogopa wataonekanaje kwenye jamii na uokovu wako. wanasemaga ndoa haina formula haawajakosea inaitaji uvumilivu na busara na mapenzi ya dhati kukabiliana na vikwazo, na ni vitu vidogovidogo sana ndo vinaletaga mzozo.
 
Sijazungumzia habari ya walokole na wapagani mi nimeongelea kumkaribisha Mungu atawale mahusiano yako na ndoa yako...... Wamtumainiao Bwana ni kama mlima sayuni....hawatatikisika
 
Haswa ninaunga mkono . Hata biblia inasema katika kitu, jambo au mjengo wowote ni lazima kuwe na Foundation , kwa wale foundation zao ni za solid rock (Jesus) , jengo lao halitaanguka hata siku moja. Na wale walio na foundation zingine basi ujue hata haitasimama kamwe. Si ndoa tuu Bali chochote unachokianzisha anzisha katika ndani ya Mungu naye hatakuacha kamwe, Amen . Asante!
 
Back
Top Bottom