Mwanamke ni kiumbe katili kuliko hata unavyofikiria

ligera

JF-Expert Member
May 17, 2014
2,650
1,250
Mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwasifu wanawake kwamba ni watu wapole lakini ukweli haupo hivyo.

Mwanamke ni mtu wa maamuzi ya haraka na pengine anapotaka kufanya jambo huwa hafikiri madhara yake huwa anakuja kutafakari wakati nambo yamesha haribika.

Mwanamke akiwa na hasira anakutoa roho muda wowote na anabadilika tabia muda wowote. Ukitaka kuamini embu siku moja muulize mkeo kwamba hivi nikizaa nje mtoto upo tayari kuishi naye halafu usikie majibu atakayokupa. Niliwahi kumueleza mke wangu nataka kuoa mke wa pili jibu alilonipa kwamba nisimtafutie mada kesi tafadhari , jibu ambalo mpaka leo huwa najiuliza alikusudia nini.

Mwanamke si mtu wa kumsaidia kwa sababu hawana shukrani na wepesi mno kusahau fadhira walizo tendewa. Unaweza kuwa na mke ukampa kila kitu lakini siku moja akimpata wa nje utapata tabu.

Wanawake ni wepesi sana kudanganyika hata asome vipi ni wachache mno unao weza kuwakuta na misimamo imara.


Au siku moja partner wako akiwa na mimba jaribu kumwambia mimba hii nina mashaka si yangu halafu uone response ya kikatili utakakuta katoto kenyewe kametupwa jalalani huko .
 

mtera1

Senior Member
Aug 1, 2014
152
225
Wanaume.ndio chanzo cha ukatili wawanawake je no mwanamme yupi atafurahi akiambiwa ninamwanamme mngine sehemu
 

Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
37,511
2,000
Mwanamke by nature ni mvumulivu sana hasa katika maswala ya ndoa,,,, lakini once akisema inatosha huwa inatosha kweli,,,,,,, huwa hawana point of return,,,,,,ndiyo hapo anapoonekana katili,,,,
na huo ndio ukweli wenyewe
 

Mafikizolo

JF-Expert Member
May 8, 2014
3,500
2,000
hahahahahahaha mwambie huyo,ivi kwanza mkewe anapika anakula,anakunywa anajua hicho chakula alikipikaje kama anasema wanaroho mbaya saizi angeandika hata huu utumbo alo andika hapa,mtu hawezi kua katili bila sababu
Hivi kijana kama wanawake wana roho mbaya leo hii wewe si ungeendelea kuwa bao tu unaogelea kwenye korodani za mdingi wako...!!!
 

tinna cute

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
4,636
0
Mwanamke by nature ni mvumulivu sana hasa katika maswala ya ndoa,,,, lakini once akisema inatosha huwa inatosha kweli,,,,,,, huwa hawana point of return,,,,,,ndiyo hapo anapoonekana katili,,,,
Ukweli mtupu
 

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
12,927
2,000
Hata makanisani wanotolewa mashetani ni wanawake.
Kwahyo hiyo ni sababu ya Ku conclude ni makatili ungejiuliza ni kwanini wanapatwa na hayo madude mwanamke ni kiungo muhimu sana kwenye jamii na shetani akitaka kuharibu kwenye familia anaanzia na mwanamke ili kuwa rahisi hiyo hoja yako haina mashiko kabisa
 

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,624
2,000
Hivi kijana kama wanawake wana roho mbaya leo hii wewe si ungeendelea kuwa bao tu unaogelea kwenye korodani za mdingi wako...!!!
bora hata angekuwa bao .. Kwa umri alio nao sasa hvi angekuwa ameshapigwa nyeto tayar au angekuwa ameozea kwenye kondom...
 

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,624
2,000
Hawa viumbe wa ajabu sana yaan hawaeleweki kwenye huruma wapo kwenye ukatili wapo.

Wapo wenye fadhira na wapo wasio na fadhira. Acha tuwaangalie tu walivyo ukitaka kuwa define hutapata jibu sahihi.
Bora tu waingizwe kwenye maajabu saba ya dunia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom