Maana ya pete na vidole husika

Maana ya pete na vidole husika

M2mwembamba

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
2,512
Reaction score
1,136
Habari za leo wakuu,naomba kujuwa maana ya pete na kidole husika kuanzia kidole kidogo hadi dole gumba.
Maana mwenzenu kama vile niko gizani.
 
Yani anakuinform anafumuliwa mshono ni sawa sawa nakuvaa cheni mguuni
 
Back
Top Bottom