Mambo muhimu ya kuzingatia wiki moja kabla ya harusi ni yepi?

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Saalam wanajukwaa,
Naomba tumshauri/tumkumbushe rafiki yangu anaetarajia kufunga ndoa Jumamosi ya tar 6 dec mambo muhimu ya kuzingatia katika jambo lake. Jumapili njema.
 
Amuombe sana mungu wake ndoa yake isije ikawa ndoo ya maji, maana ndoa za siku hizi ni kama ndoo ya maji hazikawii kujamaji na kumwagika
 
Hasitumie akili zake ila akabidhi maisha yake kwa Mungu,amkumbuke Mungu sana katika kipindi hiki na hata baada ya ndoa asimuache Mungu,awe muudhuliaji wa vipi vya dini vinavyo ubiri Mungu muumba mbingu na nchi na ufalme wake.Ndoa hataionea raha na isiww kwake tu amuimize na huyo mwenzake mtarajiwa.
 
amalizie mipango ya kando yote kabla ya siku yenyewe... hii ni muhimu na si ya kuacha
 
Saalam wanajukwaa,
Naomba tumshauri/tumkumbushe rafiki yangu anaetarajia kufunga ndoa Jumamosi ya tar 6 dec mambo muhimu ya kuzingatia katika jambo lake. Jumapili njema.

Why are you getting married ? Reasons
 
Saalam wanajukwaa,
Naomba tumshauri/tumkumbushe rafiki yangu anaetarajia kufunga ndoa Jumamosi ya tar 6 dec mambo muhimu ya kuzingatia katika jambo lake. Jumapili njema.

Nipe umri wao kwanza
 
kata vuzi au osha k

Kwani kuna watu hawafanyi hilo? Navyojua kwa mwanamke anawekwa ndani....anasingwa anasuguliwa mwili mzimaa.....anapewa kozi ya kiuno na mengineyo na kuosha ni given....

India nako wanaume wanasingwa....ila kibongo bongo ndo huyu anauliza afanyeje....
 
Anapewa kozi ya kiuno?? Kwamba haajui??
 
Back
Top Bottom