BabM
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,166
- 956
Leo ni siku ya ukimwi duniani na nimekumbuka mbali ambapo kitabu cha asia na kitutu kilitumika kuwaonya watu kutokana na janga la ukimwi. Enzi hizo tulitishika sana. Si siku nyingi nimempoteza sista aliukwaa miaka hiyooo Kwa sasa ukimwi sio tishio tena.