Je kuna mwanamke asiye na bwana nje ya ndoa

Je kuna mwanamke asiye na bwana nje ya ndoa

bussness

Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
46
Reaction score
20
jaman naombeni ushauri kuhusu wanawake kuna mwanamke asiye na hawala nje ?
 
jaman naombeni ushauri kuhusu wanawake kuna mwanamke asiye na hawala nje ?
Aisee we jamaa.....Nadhan wapo ebu jaribu kufuta taswira ya wanawake wa watu mashuur,,,,i mean wakuu wa kaya....unadhan wake zao wako na mahawara kwelii?Mke kama wa Maaskofu wakuu wakuu wa makanisa flan......Vuta taswira kwa wanawake inawezekana wasiwe na mahawara ila kwetu wanaume tulio wengi hata tukiwa ma-padri unakuta tutaoa tu ....hata akiwa Rais akuwa na hawara tu...Nadhan.
 
Labda ndoa za vijijini ila Kwa mjini tena mkeo akawa mtu wa mishemishe mfano ana saruni mfanyakazi au mfanya biashara looh lazima michepuko ipo tu. Na lazima ugongewe tu.
 
Back
Top Bottom