Kwa mwendo huu, tutafia sana vifuani

Kwa mwendo huu, tutafia sana vifuani

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Inasikitisha sana siku hizi wanaotumia Viagra ni vijana wadogo sana ,wengine hata ni wanafunzi wa vyuo. Na hii si Dar tu, mpaka hata mikoani..nilikua Dodoma nikawa na jamaa yangu mmoja pale anaduka la dawa ananiambia Viagra ndio inamlipa kuliko dawa zote.

Wateja ni wanafunzi wa vyuo na waheshimiwa. Sijui kwa kweli nini kinalikumba Taifa.

Hivi kweli kwa mawazo yako unaweza ikomoa papuchi wewe.

Acheni ujinga jamani.
 
Ni ushamba

Sana..na hawajui wanajiaribu. Ni sawa sawa na kuvaa miwani ya macho wakati macho mazima...tena kina dada mkigundua wanaume zenu wanatumia hayo madawa achaneani nao. Sio wanaume hao, labda awe ameshauriwa na daktari.
 
Tatizo wanapiga mizinga sana ndio maana tunapania sana siku ya siku usugue mpaka zitoke cheche

Kamwa huwezi ikomoa papuchi..unajikomoa wewe tu.
 
Mifumo ya maisha imebadilika sana, vijana wengi wanaiga maisha ya kisasa zaidi ambayo zaidi yanadhoofisha afya kwa namna moja au nyingine, ikiwemo hizo nguvu za kiume. Aina za vyakula tunavyokula sasa, vilevi, n.k. inawafanya watu wengi kujikuta wakiishiwa nguvu wakiwa na umri mdogo.
 
Hivi mna shida gani nyie vijana wa dotcom?? na nyie kaka zangu ambao mnatumia viagra acheni hebu badilisheni mfumo wa vyakula na maisha yenu.
 
Tatizo wanapiga mizinga sana ndio maana tunapania sana siku ya siku usugue mpaka zitoke cheche
Labda usugue na mawe, yaani kama wkt unazaliwa ule ndio uliokuwa mlango wako wakuja duniani huwezi ikomoa hata siku moja
 
Mifumo ya maisha imebadilika sana, vijana wengi wanaiga maisha ya kisasa zaidi ambayo zaidi yanadhoofisha afya kwa namna moja au nyingine, ikiwemo hizo nguvu za kiume. Aina za vyakula tunavyokula sasa, vilevi, n.k. inawafanya watu wengi kujikuta wakiishiwa nguvu wakiwa na umri mdogo.

Ni kweli kabisa.....vijana hawataki kutoka jasho. Vijana wengi siku hizi ni wamekua legelege kuliko hata wanawake.
 
Huyo muuza duka hana ethics za uuzaji madawa.
Then hayo ndio maisha waliyochagua....
 
Madushe yashakuwa butu hayana makali, kasimama dede haipo tena yanasimama kwa hisani ya viagra!!!

Hapana wengine wanakula tu kwa kuiga..ni kitu mbaya sana hawajui..pia inawaaribu kisaikolojia....maana siku hajala haisimami.
 
Huyo muuza duka hana ethics za uuzaji madawa.
Then hayo ndio maisha waliyochagua....

Hamna cha Ethic hapo...taifa linaangapia kama nchi haitachukua hatua.....wewe unafikiri tatiza la uhanithi linaanzia wapi. Ndio maana siku hiz ndoa change zinavunjika kwa sababu hiyo. Kijana akiwa chuo na wakati anaanza kazi alikua anatumia sana Viagra...ameoa hawezi kutumia na asipotumia hamna kitu hivyo mke lazima amkimbie.
 
Alafu wanasema wanawake wakitoka nawakati wenyewe viagra vimepoteza nguvu za kiume kwahiyo mke anachepuka
 
Wengine wanakunywa ili kuwakomesha wanaokutana nao kumbe ndio wanajikomesha wenyewe
 
Alafu wanasema wanawake wakitoka nawakati wenyewe viagra vimepoteza nguvu za kiume kwahiyo mke anachepuka

Yes hiyo ndio point yangu..wengi wanakuja kuona matokeo baada ya kuoa. Wake zao watusumbua huku maofisini wana Genye. Msichana mdogo ndoa haina hata mwaka analalamika mme anamtesa kwa sababu hamgongi vizuri...ni balaa.
 
Back
Top Bottom