Upweke unanitesa

mchecheto

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
1,538
2,000
Hodi humu i am a boy 22 years old nipo chuo kikuu degree in electrical engineering.

I am a single boy shida yangu ni upweke umenizidi, natafuta mpenzi ambaye if possible tuje kuoana vigezo vyake:awe mkristo,mrefu wastani.

Mnene kidogo awe mweupe, umri 16-19 elimu atmost form six kabila lolote..awe nq mapenzi kweli..nipo serrious plz..kwa aliyetayari anitext asiogope niko serious wadau..AM REPEATING...NIKO SERIOUS...dada aliyetayar asiogope
 

Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,799
2,000
hodi humu..am a boy 22 years old.nipo chuo kikuu degree in electrical engineering.am a single boy.shida yangu ni upweke umenizidi.natafuta mpenzi ambaye if possible tuje kuoana.vigezo vyake:awe mkristo,mrefu wastani.mnene kidogo..awe mweupe..umri 16-19..elimu atmost form six..kabila lolote..awe nq mapenzi kweli..nipo serrious plz..kwa aliyetayari anitext asiogope niko serious wadau..AM REPEATING...NIKO SERIOUS...dada aliyetayar asiogope
...tatizo lako si upweke....ni mchecheto tu......
 

mchecheto

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
1,538
2,000
tusipende kukerana...hujui kwa nn niliamua kujiita hilo jina hapo..xamahani hebu rudia kusoma post yangu uelewe
 

MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,450
2,000
Umri huo wanapenda hela kama bank umejipangaje kwa hilo a boy
 

Kig

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
1,067
1,250
Et binti wa miaka 16. Hujui mtu mwenye miaka 16 kisheria ni mtoto? Ushauri: Kazana kwanza kusoma. Usje ukadisco halau ukaanza kuzurura mtaani.
?
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,805
2,000
kweli jf is never boring.........na jina huwa linasadifu maudhui ndo mana ukajiita mchecheto
 

Ablessed

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
4,618
2,000
Dogo komaa na kitabu usiyachokoze mapemzi kabla ya wakati. Ijapokua maadili yameporomoka hayaleti uhalali wa wewe kujiingiza kwenye hii makitu wakati huu. Kamata kitabu kwa nguvu zako zote muda ukifika hutatangaza utawaona na huo ndio utakua muda muafaka wa wewe kuchagua anaekufaa.

Zingatia ushauri huu mkumbuke muumba wako siku za ujana wako na kwa kufanya hivi itakusaidia kupata anaekufaa lkn ukichagua kwa macho waweza kuja tena hapa kuomba ushauri baada ya kuumizwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

pierre tall

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
3,645
2,000
BRN imefanya watu wasiostahili kufika katika vyumba vya shule wamefika na haya ndo matokeo yake..yaan kuna watu wameonewa sana katika kulazimishwa kusoma na hii serikali...
 

Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
mdogo wangu mademu yote haya hujayaona?? chuoni.mtaani kwenu,kwenye daladala kote hujawaona? yawezekana huna pesa.mimi kila siku wanajigonga kwangu NIKAWAGONGE.
 

mchecheto

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
1,538
2,000
nilivyoziona coments chache tuu ni mmoja tu aliyeshauri.kwanza nitabadilisha jina hapo..pili wengi walivyoona 16 wameshtuka na kuanza kugusia ubakaji..kimsingi sikusema natafuta mke.nmisema mpenzi na nnashangaa walioropoka eti umri ,girls siku izi wamechange si kama zamani miaka 10 wanajua kila kitu,sitafuti mtu wa kuchezea ieleweke hivo.natafuta binti wa kuleana/kuandaana kwa maisha ya baadae
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom