AIDS Day:Message HOT

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,427
85,872
Haya leo ndio siku ya UKIMWI Duniani; Je umeitathimini mienendo yako? Inakuweka kwenye position gani?
My Message to you is this...

A moment of Pleasure can desrtoy many lives, an act of carelessness can shut down many dreamz!! It is AIDS day, play smart and safe. Flee from HIV/AIDS.

Thanks

Elli a.k.a Mumangu
 
Reminder:

Ignorance and prejudice are fueling the spread of a preventable disease. World AIDS Day, 1 December is an opportunity for people worldwide to unite in the fight against HIV and AIDS.... It's up to you, me and us to stop the spread of HIV and end prejudice. ~worldaidsday.org, 2006
 
Nimekusoma vizuri sana

Huku iringa maambukizi rate yake ni 15.7% kitaifa, pia matumizi ya kondom kwa mwenzi yakadiliwa kufikia box 10,000!
 
Kwanza nawapa pole wote waliopoteza ndugu, jamaa, marafiki na wapenzi wao kutokana na ugonjwa huu.

Na wale wanaoumwa na wapa pole sana na nawatakia mpone kwa njia yoyote hile; na pia nawaomba msaidie kutoa elimu ya ugonjwa huu kwa wengine ambao hawajaathirika hili kupunguza maambukizo. Na pia kwa wale walioathirika jitahidi kuto ambukiza. Kama ni ngumu kumwambia mtu umeathirika, ni vizuri ukatae kufanya nae mapenzi.

Kwa wengine ambao hawajaathirika, kumbuka kujikinga kwa kutumia condom, usifanye mapenzi na mtu ambae hujui status yake. Na jitahidi kuwa na mpenzi mmoja na wote mjue status zenu.

Mwisho tujaribu kutambua afya zetu kila mwaka kwani inasaidia kuweza kutibu magonjwa mapema kabla hajamiliki mwili na tutoe ushirikiano kwa waathirika.

Ni kukumbushana wakuu, usikose kuwakumbusha wengine.
 
Naomba kuuliza watumia condom ambao wamepima na hawaathirika bado then wale ambao hamjapima HIV bado mpo mpo kwanza.

Je ukijua mimi mrembo sana unanitamani nimeathika utatumia condom na mimi?

Je kama huna uhakika utatumia condom na mimi?
 
Ujumbe wangu wa leo

tanzania bila maambukizi mapya ya UKIMWI inawezekana tumia utashi wako.
Wakinge watoto na maambukizi ya kutoka kwa mama.
Pima kabla ya kuamua kupata mimba, epuka mimba zisizotarajiwa, kama mama umeambukizwa tafuta ushauri ha huduma ili upate mimba salama na usimuambukize mwanao tumboni, wakati wa kujifungua au wakati wa kutunza na kumnyonyesha.
Inwezekana wanaume na wanawake tusaidiane
 
Haya leo ndio siku ya UKIMWI Duniani; Je umeitathimini mienendo yako? Inakuweka kwenye position gani?
My Message to you is this...

A moment of Pleasure can desrtoy many lives, an act of carelessness can shut down many dreamz!! It is AIDS day, play smart and safe. Flee from HIV/AIDS.

Thanks

Elli a.k.a Mumangu
and its begin with you..
 
Kuna wakati kipindi cha nyuma ililetwa habari JF kuwa Mengi alikomba mamillioni ya misaada ya AIDS.

Tujikumbushe.
 
Kuna wakati kipindi cha nyuma ililetwa habari JF kuwa Mengi alikomba malillioni ya misaada ya AIDS.

Tujikumbushe.
Faiza bhana, unaonaje kwa leo tukadili kwanza na hili halafu hilo la Mengi tukalifulie uzi wake? Tafadhali sana nakuomba leo tu tumia busara please, tuendelee na hili, nakuomba sana. Hilo la Mengi tulifungulie uzi, inaonekana una point nyingi juu ya hilo, utatusaidia kukomesha hilo ila kwa sasa hebu tujikite na hili. Asante kwa kuwa mwelewa
 
Naomba kuuliza watumia condom ambao wamepima na hawaathirika bado then wale ambao hamjapima HIV bado mpo mpo kwanza.

Je ukijua mimi mrembo sana unanitamani nimeathika utatumia condom na mimi?

Je kama huna uhakika utatumia condom na mimi?

Na kama wewe utakuwa kweli umeathirika na una lengo zuri tu la kuwakinga wengine utanimbia mimi sukari imeshangia mdudu kwahiyo ni bora tusifanye kabisa kuliko kufanya kwa kutumia condomu
 
Ukimwi hauna tiba kwa wasomi wa dunia hii !

Wamwaminio halisi YEHOVA; wanapona kwa MAOMBEZI,katika jina la Yesu Kristo.
 
Naumia sana tena sana... eeeh Mola saidia familia yetu!

Ngoja niishie hapa.... Make machozi yananilenga!
 
Back
Top Bottom