Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

Habari wana jf nna swali eti Ni dawa au mafuta gani husaidia kuondoa mba katka nywele

Head & Shoulders Classic Clean Dandruff Shampoo

2in1-classicclean.png
 
Radiant ni mazuri unapaka kwenye ngozi kila unapoziosha. Na hata unaposet unapaka ndio ufunge rollers uingie kwenye drier itakusaidia sana.
 
chukua mkojo wa mbuzi chemsha alafu usubiri yapoe kisha uchukue sabuni ya omo changanyia kisha osha nayo.hutapata tena mba katika maisha yako yote.
 
chukua mkojo wa mbuzi chemsha alafu usubiri yapoe kisha uchukue sabuni ya omo changanyia kisha osha nayo.hutapata tena mba katika maisha yako yote.

Sometimes mtu kama huna.cha kusema ni.bora ufunike bakuli lako
 
niandikie sms in my inbox..nna bidhaa nnauza zitakusaidia..am serious
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom