Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna huu mtindo wa wanaume, kama ana mke au mpenzi mrembo halafu akatoka naye kwenye mitoko labda ya harusi, basi atahakikisha anamtambulisha kila mtu anayemfahamu, lengo lao ni kusifika ana mke...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Wanabody salaam. Baada ya escrow,tunarejea tena kwenye maisha yetu. Me naomba kujua,kwa wale wanaofunga ndoa na kwenda honeymoon(fungate) ambayo kwa mujibu wa dini na kimila ni siku 7. Wanaenda...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Wanaume wamekuwa chanzo kikubwa cha kusababisha wanawake wengi katika jamii kuonekana malaya kwa tabia za baadhi ya wanaume Utakuta mwanaume anamdanganya mwanamke kwamba anataka kumuoa hivyo...
9 Reactions
103 Replies
16K Views
Natafuta mume mwema
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Imezuka tabia ya watu hasa vijana wanakubaliana kuoana halafu wanatoa kadi za michango kwa marafiki na watu wanachangia lakini mwisho wa siku ndoa haipo na sherehe haipo ukifuatilia kumbe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello MMU. Wakati umewadia, kibubu kimejaa na kusheheni mapene bila kuwekewa wala kusaidiwa fullu jasho langu. Hapa niko on the way to vacation nikifika ntawajuza habari za huko. This time sea...
6 Reactions
116 Replies
9K Views
Habari wana MMU Inakuwaje mwanamke una mpenzi wako mnapendana sana ila kila unapotaka kuingia period (siku zako) mwanaume wako ndo anaumwa tumbo anatoka chunusi kiuno vyote vinamsumbua na ile...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani Naombeni Ushauli Watuwangu Wa Nguvu, Kuna Msichana Nampenda Na Nilimwambia Akaniambia Tayari Anamtu Wake Na Tukiwa Tunaongea Kwenye simu Tunaongea Vizuri Tu. Sasaivi Nimetoka Safari Na Sio...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa jina SULEIMAN ninaumri miaka 29,kabira mama mpare baba mnyamwezi,mrefu kiasi,si mwembamba wala mnene,mweupe wala mweusi,ni kati kwa kati,dini muislamu,elimu chuo kikuu,mfanyabiashara mdogo na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nimekutana na daladala limeandikwa hivi "wenye wake wapeni pongezi" mwisho wa kunukuu. Nikajiuliza kulikoni? ama kupata mwanamke ni kazi nzito inayostahili pongezi ama wanawake ni mzigo mzito...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Imekuwa kama kitu cha kawaida mwanamke kuishi kimapenzi na mume wa mtu kuliko mwanaume kuwa mapenzini na mke wa mtu?
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Mke wangu kanisaliti nilipokuwa nipo kikazi katika shughuli zangu nje kidogo ya jiji la Dar. Taarifa Nimepata Kutoka Kwa Maswaiba Wangu Wa Karibu Na Kwangu Na Wameniambia Mke Wangu Anatembea Na...
0 Reactions
104 Replies
16K Views
anyone who is ready to chat with me in english he/she is invited. time for chatting will be from 22:00 to 00:00 am. chatting without any restrictions (unconditional chatting).
0 Reactions
22 Replies
2K Views
BADO SIJAOA...Natafuta # Mwanamke_Aliyeachika maana Nimeambiwa MKE MWEMA ANATOKA KWA BWANA.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii yabia ya wanawake ya kila ukiongea nae ni lazima amalize maongezi kwa kuomba salio itaisha lini, au hawa magirl wanagikilia mabouz tunatembea na ATM
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Laiti ndoa ingekuwa ya kifurushi,je,wewe ungejiunga na kifurushi gani? kuwa mkweli a)cha siku? b)cha week? c)cha mwezi? d)cha mwaka? e)cha milele?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
One of the greatest feelings a woman can ever have is a man's true love. Though your boyfriend may take time telling you he is in love with you, chances are he already has through his actions...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nina swali. Hivi mwanamke kupenda kukaa na mme wake mda mwingi ni kuonyesha upendo au ni wivu wa mapenzi...wengine hawataki kuona unatoa mguu nyumbani ananuna kama nini .... akiona...
0 Reactions
1 Replies
922 Views
Wakuu Tukiwa sehemu moja ya mapumziko, baada ya kupiga story mbali mbali ikiwemo masuala ya social media kama Jf, kuna mmoja wa wadau katika kuthibitisha ana uwezo wa uthubutu alitaja jina lake...
5 Reactions
229 Replies
13K Views
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi! Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa...
0 Reactions
236 Replies
17K Views
Back
Top Bottom