Sababu za kumfanya mwanamme kuwa na hawara

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,019
NITATAJA BAADHI ILA NA WANAUME MUONGEZEE ILI TUYAJUE TUJIREKEBISHE.

¡) KUTOJUA DHAMANI YA MUMEWE mfano anaona ni mtu wa kawaida sana wakati kuolewa leo ni bahati sana kwasababu huduma zote za ndoa zinapatikana hata usipooa kuna makahaba wengi tu wanatafuta hata mume wa kumweka ndani wanakosa mbaya zaidi kuna WANAWAKE WENYE TABIA NA SURA NZURI hawajaolewa na wanatamani waolewe

¡¡) DHARAU NA KIBURI. mfano unakuta mke kosa dogo tu anaukuza na kufoka, kutukana, na hata kumpiga mumewe anamdhalilisha, anamtishia kumfukuza ondoka kwa nyumba mumewe,hampokei anapotoka kazini au safari, ananunanuna bila sababu za msingi nk.

¡¡i)HANA SHUKRANI mfano unakuta mume anajitahidi kumnunulia mkewe zawadi kama chupi,sidira,viatu,nguo nzurinzuri za kisasa nyingi tu na vizawadi vingine vidogodogo kama choklate nk then mwanamke huyo anaona ilikuwa haki yake kupewa na kuwa navyo wakati yeye hata siku moja hajawahi mnunulia mumewe hata malapa ya 2000 na mumewe huyo ukimwangalia ana pea moja ya viatu soksi na suruali mbili na masharti matatu aliyonunua mwenyewe

¡v)KUTOTII AMRI YA MUME mfano unakuta mume kuna tabia hapendi ka mawasiliano ya usiku na wanaume au wfanyakazi wenzake wa kiume unamkataza anakubali but for fewz day unakuta wanachati tena kwa sms whatsp na calling hapa napo atakataa hana mahusiano nao ya kimapenzi yeye

V)MWANAMKE KUKIRI KOSA NA KULIRUDIA KOSA LILELILE mfano unakuta mmegombana na kosa alilifanya mwanamke anakiri vizuri sana ila baada ya siku tatu nne anarudia kosa lile lile.HIVI KWA MAKOSA HAYA MWANAUME ATAACHA KUWA NA NYUMBA NDOGO AU DEMU NJE KWELI .

HEBU ONGEZEENI JAPOKUWA WANAUME NAO ZAMU YAO KESHO NITAYAANIKA HAPA YANAYOWAFUKUZA WAKE ZAO KWA WANAUME WA NJE.
 
Sorry kwa wale wanaopata tabu kusoma tatizo mimi ni product ya pale manzese sec.
 
zawadiiii.......chupi,sidira,viatu,nguo....Uko kwenye ndoa bado unakuja kulalamika lalamika na viawadi utoavyoooo...jua ni vya hadhi ya chini ndo maana no asante

...unaenda bar unanunua nyama na bia ==50,000TS halafu unamletea chupi ya TZS 4,000
 
Kama ni hivyo inabidi urudie pre form one.....alafu mwakani tutakuunganisha pale JANGWANI au KISUTU...mwenyewe utachagua....sawa mkuu....????
 
zawadiiii.......chupi,sidira,viatu,nguo....Uko kwenye ndoa bado unakuja kulalamika lalamika na viawadi utoavyoooo...jua ni vya hadhi ya chini ndo maana no asante

...unaenda bar unanunua nyama na bia ==50,000TS halafu unamletea chupi ya TZS 4,000

Hahahaa shangaa na wewe my dia...hapo hawara amenunuliwa gari ameenda baa amenywesha bia marafiki zake na mabaamedi af nyumbani anarudi na kijichupi cha 2000 pyeeee
 
Pia kukuta bili ya baa kwa shati lake ya 150000 alafu alipoondoka asubuhi hajaacha ya kueleweka na mkute mlizozana hela ya chakula puuuuuu
 
Hahahaa shangaa na wewe my dia...hapo hawara amenunuliwa gari ameenda baa amenywesha bia marafiki zake na mabaamedi af nyumbani anarudi na kijichupi cha 2000 pyeeee

uzuri huwa mnavipokea na kesho yake mornie unakitinga, janeth1 hajambo?
 
Last edited by a moderator:
zawadiiii.......chupi,sidira,viatu,nguo....Uko kwenye ndoa bado unakuja kulalamika lalamika na viawadi utoavyoooo...jua ni vya hadhi ya chini ndo maana no asante

...unaenda bar unanunua nyama na bia ==50,000TS halafu unamletea chupi ya TZS 4,000

mwanaume wa namna hiyo ni tatizo by the way nilitoa mfano sema tu haujaelewa
 
Back
Top Bottom