Wamasai wana nguvu za kiume kuliko wanaume wote Bongo

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Hii ndio sababu kuu inayowafanya wamasai wawe na nguvu nyingi za kiume kuliko wanaume wote nchini Tanzania;
1. Hawana stress za maisha, kwenye mapenzi hakuna kitu kibaya kama stress.

a) Wamasai hawana stress kwasababu hawafikirii kuwa na nyumba
b) Hawafikiri kuwa na gari na pengine hawafikirii hata pa kupata chakula

Wapo wapo tu na migegedo yao ni mikubwa, ndiomaana wazungu wanawang'ang'ania sana.

Wamasaiiiiiiiii.... ha ha ha

By: BUKU JERO
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wasikuhizi ni pesa... hata uwe na mgegedeo size ya mguu lazima atadanga tu....
 
Hili jukwaa limevamiwa na vibaka, halina ladha tena! Hivi @mods mmelala or what?
 
Hii ndio sababu kuu inayowafanya wamasai wawe na nguvu nyingi za kiume kuliko wanaume wote nchini Tanzania;
1. Hawana stress za maisha, kwenye mapenzi hakuna kitu kibaya kama stress.

Wamasai hawana stress kwasababu hawafikirii kuwa na nyumba
b) Hawafikiri kuwa na gari na pengine hawafikirii hata pa kupata chakula

Wapo wapo tu na migegedo yao ni mikubwa, ndiomaana wazungu wanawang'ang'ania sana.

Wamasaiiiiiiiii.... ha ha ha

By: BUKU JERO
Wamasai gani mkuu unaowaongelea ni hawa tunaokimbizana nao kwenye kila biashara za madin,utalii na kwingineko? Nasubiri jibu lako nikupe historia ya mmasai mmoja aneitwa Kanungaa na Lemakoo.....labda tutaenda sawa mkuu.
 
Hii ndio sababu kuu inayowafanya wamasai wawe na nguvu nyingi za kiume kuliko wanaume wote nchini Tanzania;
1. Hawana stress za maisha, kwenye mapenzi hakuna kitu kibaya kama stress.

a) Wamasai hawana stress kwasababu hawafikirii kuwa na nyumba
b) Hawafikiri kuwa na gari na pengine hawafikirii hata pa kupata chakula

Wapo wapo tu na migegedo yao ni mikubwa, ndiomaana wazungu wanawang'ang'ania sana.

Wamasaiiiiiiiii.... ha ha ha

By: BUKU JERO

hivi na lowassa ni mmasai hana stress za urais.tehteh
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio sababu kuu inayowafanya wamasai wawe na nguvu nyingi za kiume kuliko wanaume wote nchini Tanzania;
1. Hawana stress za maisha, kwenye mapenzi hakuna kitu kibaya kama stress.

a) Wamasai hawana stress kwasababu hawafikirii kuwa na nyumba
b) Hawafikiri kuwa na gari na pengine hawafikirii hata pa kupata chakula

Wapo wapo tu na migegedo yao ni mikubwa, ndiomaana wazungu wanawang'ang'ania sana.

Wamasaiiiiiiiii.... ha ha ha

By: BUKU JERO

Umewezaje kupima nguvu zao za kiume? Disclose
 
Last edited by a moderator:
Hii thread ingeanzishwa na jinsi nyingine ningeshawishika haraka, hata hivyo sijakataa
 
Wamasai gani mkuu unaowaongelea ni hawa tunaokimbizana nao kwenye kila biashara za madin,utalii na kwingineko? Nasubiri jibu lako nikupe historia ya mmasai mmoja aneitwa Kanungaa na Lemakoo.....labda tutaenda sawa mkuu.

Kha ha ha ha haaaaaaa! Mkuu hawa ni wa wapii????
 
Nilidhani baada ya kubadilisha ID utabadilisha hata mtindo wa sredi zako...!!!
 
Tuwemakini na Mamboyetu yupo m kaka analia mpakaleo mzigo ulisimaa wiki haswa leo ni superget achakabisa
 
Back
Top Bottom