Kama umetumia Kondom huna dhambi

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,009
2,000
Wapendwa wana JF,

Niliwahi kushangazwa na demu mmoja hivi aliyekamatwa ugoni, alipobanwa na mpenzi wake akag'aka na kusema "wewe sio bwana wangu" jamaa likang'ang'ania demu ni wangu na juzi alilalala kwangu, na tukafanyana sana, demu akasema ni kweli tulifanya sana lakini wewe sio mpenzi wangu kwani tunatumia kondom , mpenzi wangu ni huyu tunayefanya nyama kwa nyama yaani lwanga lwanga. Wewe ni kwamba ulikuwa unajifanya mwenyewe kwa kutumia sura yangu, hata tukipima hakuna chembe inayobaki.

Nawashauli muwe mnapimisha kabla ya kufanya tendo la ndoa jamaa amekosa demu hivi hivi. Kuna tuvipimo yaani dakika tatu kimekupa majibu.
 

Arctic Tern

Member
Apr 12, 2014
36
95
Watu wengine mnalazimisha Kulala mchana wakati siyo fani yenu mkiamuka ndo mnapost thread kama hizi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom