Nashindwa kuelewa !

Nashindwa kuelewa !

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,714
Reaction score
17,324
Ni nani wana haki ya kupost hapa MMU.
Uzi wangu umekua deleted bila sababu.

MAANA YAKE NINI???**#*!!
 
mbona kuna tumbo nyingi tu zapostiwa hapa na za make to 10 pages.

Bora hata wangu ulikua na sense.
 
the likes zinakaa hapa to 10 pages, why mine?

sio bahati yako, halafu hapa sio maskani, kuna kesi nyengine ni za kitoto na za kitoto kupita kiwango. Ukiona yako imefutwa ni ya kitoto kupita kiwango
 
Weka tena, Wakifuta weka tena, Wakifuta weka tena! Baadae tutajua nani ni nani!
 
sio bahati yako, halafu hapa sio maskani, kuna kesi nyengine ni za kitoto na za kitoto kupita kiwango. Ukiona yako imefutwa ni ya kitoto kupita kiwango

nikilinganisha na ninazozikuta hapa daily,, yangu was the best...
Afu hapa hakuna mtoto. Mtoto ni ambae hajaota vuxi.
 
sina muda. Alieifuta ntampandisha chart sana

Aliyefuta ndio anaendelea kukusugulisha vidole kwa keyboard yako, ni vema kupambana nae, so akifuta weka tena, akifuta weka tena, baadae tutajua nani ni nani!
 
Aliyefuta ndio anaendelea kukusugulisha vidole kwa keyboard yako, ni vema kupambana nae, so akifuta weka tena, akifuta weka tena, baadae tutajua nani ni nani!

Au ni wewe..! Naona una sisitiza.
 
Akifuta weka tena,Akifuta weka tena,akifuta weka tena mwishoe tutajua nani ni nani
 
Back
Top Bottom