Ushauri kwangu

Ushauri kwangu

Keshakwambia ana wa kwake, unataka ushauri gani tena?...Kukuulizia haina maana amekupenda katika muktadha uliyouchukulia wewe.Jaribu kuheshimu mahusiano ya watu
 
Imagine story yote hiyo hamna commer wala full stop....!
 
Endelea kumfurahisha kwa kumwambia jambo lako. Huyo boy wake mbona atayeyuka kama mafuta ya Kimbo juani.
 
Kwanza Chuo gani.? Usikute unataka kumchukua kipenzi changu.
 
Amesha kwambia ana boy wake, hapo kipi kilicho kua kigumu kuelewa? Au ushazowea wa pata sote huwezi kutafuta wako ..
 
hakuna comma hata unasoma mwanzo mwisho
mwanachuo wapi weye
 
Back
Top Bottom