Mwanandoa alazimishwa kuzama chumvini, ni sahihi?

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,194
2,000
Habari wanajukwaa, nimeona niseme maana nami ilinitokea kwa mchepuko mmoja kunilazimisha nizame chumvini na mimi sipo willing kufanya hivyo ikabidi tuachane.

Rafiki wa rafiki yangu aliyeingia kwenye ndoa juzi juzi kakumbwa na hili toka kwa mkewe, kumtaka azame chumvini, kama hataki, hakuna kugegedana.

Bila shaka wapo waliokwishakumbwa na jambo kama hili, pia wapo waliofanya hivyo, na zaidi zaidi wapo wasiopenda kabisa kwa jinsi zote kwakuwa kuna tahadhari kutoka kwa madaktari kuwa mwanaume anaweza akapatwa na kansa ya koo.

Sasa nawaulizeni kaka zangu na dada zangu, kuzama chumvini ni lazima hasa kwa wanandoa hadi mtu anamnyima mwenzake unyumba?

Tena wapo wanaolazimisha tigo kwa wake zao kisa amemwoa, hili nalo ni sawa?

Neno KULAZIMISHA nimelitumia kama KUSHAWISHI KWA NJIA YEYOTE lakini mwenzako hataki.
 

suregirl

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
6,077
1,225
Kuzamia kunahita maelewano maridhiano utayar wa mtu au uhuru usikubali kulazimishwa jambo ambalo unaona s sahihi kwako pengine anaeforce hivo ujue huko nje kishazoea ndo mtindo wake na haskii raha had afanyiwe hivo kama msafi anajiweka romantic zaid huko chini hahaa nanyonya tu kwan bei gan ila awe n mke na s mchepuko maradh kibao siku hizi
 

xfactor

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
1,511
1,250
Asa mwambie akaze hivo hivo kukataa kwenda chumvini afu mkewe akutane na wenye ugonjwa wa kupenda kwenda uvinza, watamchapia mpaka aombe poo bila poo kwisha, by the way hata soda zina madhara, nini chumvini bhana..
Ulicho kiongea hapa mkuu Ndio kinachoitwa "Utumwa wa mapenzi",yani ulazimishe nafsi tena kwa Kitu ambacho kinaweza kukudhulu kisa mke ata chepuka. Acha achepuke.

Siku nyingine atakwambia hafanyi mapenzi bila Kuwa anaweka vidole vyake kwenye makalio yako. Nayo utaogopa usipokubali atachepuka?

Hapo ni kutumia busara tu maana unapo anzisha utaratibu mgeni kwa Mwenzio usitegemee akubali instantly
 

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
11,679
2,000
kunA mabinti wengine bila mume kuzama huko hapati hisia ya kutafunwa
 
  • Thanks
Reactions: BRN

annabrenda

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
1,142
1,225
Nayeye huwa anapenda kunyonywa hizo p zake? Isije kuwa anataka apate raha yeye tu. Na hili linawezekana ndio maana nayeye anamtaka azame chumvini.
 

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,255
2,000
Hehehehhehehehehehe

Acha nipite hiviii🔜🔜🔜🔜🔜🔜🔜🔜🔜🔜🔜
 

DATABASEE

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
593
1,000
wakat mwngne binadam hubadilika kutokana na MAZINGIRA.Chumvin panahusika kwa mustakabali wa maelewano na mazea yenu woote...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom