Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,857
Sijona thamani ya kuishi hapa duniani tofauti na mapenzi, hasa ukimpata akupendaye.
Sawa maisha ni magumu lakini inapofikia swala mko wawili na mpenzi wako ndio inakuja raha na maana sahihi ya kuwepo duniani.
Tofauti na mapenzi sijaona sababu nyingine ya kuendelea kuishi duniani, kama siyo kujitafutie mateso na karaha.
Nyie mnaojifanya matowashi ili hali siyo matowashi lengo mpate ufalme wa mbinguni, mnajindaganya adhabu yenu iko pale pale mbele za Mungu.