Jamani kumbe mke wa mtu ni sumu

Jamani kumbe mke wa mtu ni sumu

walitola

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
4,856
Reaction score
5,702
Wana MMU ni siku chache zimepita takribani wiki moja hivi kuna sakata moja limetokea maeneo fulani ya hapa jijini Dar es salaam, jamaa mmoja alifumaniwa na mke wa mtu kama unavyojua uchungu wa mke inasemekana huyo mwanamama alitegeshewa na mumewe basi ndipo walipofumaniwa cha ajabu vile viungo vya uzazi viligandana, kilichotokea basi mume wa mke aliyefumaniwa alitaka alipwe pesa nyingi mno, nitoe rai kwa wanajukwaa tunapotongoza wake za watu tujipange nawakirisha.
 
Tumekusikia mkuu tutajitahidi
 
Kwa nin utongoze mke wa mtu? Ilhali single ladies wapo wa kutosha.
 
.. kilichotokea basi mume wa mke aliyefumaniwa alitaka alipwe pesa nyingi mno, nitoe rai kwa wanajukwaa tunapotongoza wake za watu tujipange nawakirisha.

Kwa hiyo mkuu unatushauri tuwe tunaandaa kabisa mshiko kabla ya kutafuna mali za watu?
 
Kwa hiyo mkuu unatushauri tuwe tunaandaa kabisa mshiko kabla ya kutafuna mali za watu?

hahahaha ndo ivyo mkuu mana wakikubamba unakula vitu vya watu aina maneno ni kutoa ATM card na no za siri watu wakachukue vyao
 
Hata wao wanajirahisi mnoo

Mkuu ngosha mchele upo sahihi kabsa hawa watu wanajiraisisha mno hapa jiran na mahome yupo mmoja ananifanyia vituko sana ila namkazingua mwanzo mwisho
 
Ila huo nao ni ushamba au ni sahihi kumfanyia mke wako mtego wa kumfumania wakati bado unampenda?
 
Kwa nin utongoze mke wa mtu? Ilhali single ladies wapo wa kutosha.

One man's meat is another man's poison... Mke wa mtu ana raha yake...but do it at your own risk..
 
Kwa hiyo mkuu unatushauri tuwe tunaandaa kabisa mshiko kabla ya kutafuna mali za watu?

unaweza ukaandaa pesa na asitake pesa hiyo akataka akutatue marinda mmmh
 
Back
Top Bottom