alikuwa mpenzi wangu miaka miwili iliyopita, akanitosa nikaendelea na maisha yangu Mungu si adhumani Jamaa kamvuruga akamzalisha mtoto mmoja akampiga chini,
karudi kwao kanikuta mi nipo tu...
Nawasalim wana MMU,
Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa MMU na nimepata kujifunza mambo mengi sana lakini kuna jambo limenitokea naombeni ushauri wenu.
Kwa sasa ninaishi Dar nimetokea kumpenda...
Wakuu salam.
Jana nlikua maeneo eneo katika ile michakato ya ...sio dili.
Kilichonifedhehesha ni wakati nlienda dukan kununua kondomu nlimkuta binti mdogo saana anauza duka, kwa kumkadilia ana...
Wadau jana nili-post hapa uzi wa kutafuta Mwenza, Mi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 ni mfanyakazi, sasa nilisema nahitaji mke awe na umri wa kuanzia 20-27, na akiwa Mwalimu au Nurse ni vizuri...
Wana MMU heshima kwenu,poleni na majanga ya ESCROW.Mwisho wa siku lazima Maisha yaendelee.
Ni mda mrefu kidogo sijaanzisha Mada hapa.Leo nimekuja na hii mada ambayo sina shaka mtaipenda.Kwangu ni...
Nina mpenzi wangu tumedumu 1yrs katika mahusiano, kumpata tu nilitumia kipindi kirefu sana mpaka kumshawishi, tatizo likaja katika kutupiamo, alikuwa anagoma kila siku, hata denda tu kanakimbia...
Hi all
Najua kuna mila na desturi za kibantu ambazo huwaga zinaingiliana. Sasa nauliza hivi suala la mwanaume kupeleka posa huwaga anapeleka baada ya kumtambulisha mwanamke kwao au kabla.
Kuna...
Mimi ni kijana,umri chini ya 35 na ni mrefu kama fut 6 ,mkristo na ni mweupe kiasi,nahitaji mwanamke kwa kufahamiana na mahusiano ya muda mrefu,umri wake uwe walau 25 na 29,ALIE TAYARI AJE PM,KAMA...
WanaJamiiForums katika hali ya kawaida na kwa mapenzi ya kistaarabu baada ya kumwandaa vizuri, je ni muda gani kwa wastani unatakiwa kugegeda mwanamke hadi arizike na shughuli?
Karibu kwa maoni.
Ninae girlfriend wangu juzi alikuja kwangu nikamwachia simu yangu alikuwa anatuma baadhi ya file kwa njia ya bluetooth wakati sipo aliangalia sms zangu na kwenye whatsup kuna baadhi sms...
Wana-MMU na wana-JF niko kwenye utafiti ili kufanikisha na kuelewa zaidi kwa kile kinachosemwa na watu kuhusiana na uwezo wa kufikiri wa mwanaume hupungua kwa asilimia 60% akiwa...
Nina imani kubwa sana yoyote aliyefungua thread hii ni mwanaume,
Moja kwa moja kwenye topic.
Jamani wanume wezangu naomba tuwekane sawa na tufahamishe taratibu ulizotumia na unazotumia kuwanasa...
Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.
Kundi la pili: Wanaume wenye pesa, hawa wanadhani watapendwa...
Wana JF natafuta mama mtu mzima kuanzia miaka 35 up to 45 yrs ambaye ntakua na date naye please kwa aliyetayari ani inbox pia awe tayari kupima HIV n
naomba kuwasilisha JF
Wazazi wengi wa kiume wameongeza ukaribu kwa watoto.
Umuhimu wa mtoto wa kike unaonekana.
Uelewa kuhusu uzazi wa mpango umeongezeka.
Vijana wengi wana watoto pasipo kua na ndoa/kuoa.
Karibuni...
Goodmorning;
Nimefikiri sana ni zawadi gani nitampa mpenzi wangu na sijapata jibu
Ni zawadi ya kawaida tu nzuri and simple
Ni msichana anaependa urembo and she is not a middle class or lower...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.