Kwa kina mama wa kambo wote

prospa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
554
195
Hivi umeolewa na ulipokuwa unaolewa umemkuta mumeo ana mtoto, tumuite mtoto wako wa kufikia then na wewe umejaliwa na Maulana ukapata mtoto je ni sahihi ukiulizwa na watu kusema kuwa una mtoto mmoja na je watu wakija kukutembelea uanamtambulishaje mtoto wako wa kufikia kwani ushasema wewe una mtoto mmoja?
 

suregirl

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
6,070
1,225
Unajua kwanza roho hazifanani na zipo tofaut kama vidole vya mkono


Sijaona mantik ya kuachA kusema nina watoto wawili hata kama s wangu si bure ana mapungufu kichwan huyo
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
53,576
2,000
Unajua kwanza roho hazifanani na zipo tofaut kama vidole vya mkono


Sijaona mantik ya kuachA kusema nina watoto wawili hata kama s wangu si bure ana mapungufu kichwan huyo
Utajiskiaje we ukitambulisha wasema wako(wenu)af mmeo anasema ni wake?
next time utasemaje?
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,512
2,000
Hivi umeolewa na ulipokuwa unaolewa umemkuta mumeo ana mtoto , tumuite mtoto wako wa kufikia then na wewe umejaliwa na Maulana ukapata mtoto je ni sahihi ukiulizwa na watu kusema kuwa una mtoto mmoja na je watu wakija kukutembelea uanamtambulishaje mtoto wako wa kufikia kwani ushasema wewe una mtoto mmoja?????

Kwa mila za kiafrika anaeolewa na baba ni mama, kwa wazungu wao mama ni yule aliyekuzaa au amekuadopt. Kama umeolewa na mzungu ukamkuta na mototo wake, usishangae mototo yule akakuita kwa jina lako la kwanza, yeye anajua mama yake ni yule aliyemzaa (biological mother).
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom