Wasaidizi wa kazi za nyumbani Why

Wasaidizi wa kazi za nyumbani Why

concrete15

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
882
Reaction score
323
Jamani kwa nini wa dada wasaidizi wa kazi za nyumbani hupenda kusingizia sana wababa kuwataka kimapenzi sasa hii hutumika kama defense mechanism au nini.

Ukigombeza tu kosa what to do now kukaa kimya na kuona vitu vikiaribika au vipi.
 
Huyo msaidizi gani wa kazi mwenye kuyasema hayo kama si kweli kaombwa kitumbua...!!!
 
Psychologia ya beki tatu yote ni sawa. Ukikosea kuanzia mwanzo wakati anaanza kazi umeliwa.

Make her your young sister but dont forget to tell her limits to which when she goes beyond madhara yake ayajue.
 
Hapo sijaelewa, anaharibu vitu, hafanyi kazi au nini? Au inakuwaje mpaka asingizie kuombwa.
 
Beki Tatu Anaasilimia Kubwa Yakutembea Na Baba Mwenye Nyumba Kutokana Nayeye Kutumia Muda Mwingi Kumcare Mfano Kupika,kufua Nguo,kuandaa Maji Yakuoga Ambapo Hivi Vitu Vilihitajika Vifanywe Na Mke Mwenyewe Alafu Beki Tatu Ajishughulishe Na Mambo Mengine Kama Kulea Watoto,kuosha Vyombo,na Kusafisha Nyumba
 
Mkuu umekula .... Where there is a smoke there is a fire
 
inabidi umtume ukeo sokoni alafu ubaki nae ugegede vya kutosha kujenga heshima
 
Jamani kwa nini wa dada
wasiidizi wa kazi za nyumabi hupenda kusingizia sana wababa kuwataka
kimapenzi sasa hii hutumika kama defense mechanism au nini. Ukigombeza
tu kosa what to do now kukaa kimya na kuona vitu vikiaribiaka au
vipi.

ahaaaa ni sheeeda aisee jana shoga yangu alinichekesha et hg walomletea katako kamebinuka sana eti afanyeje? nikamwambia jiamin ahaaaaa
 
Jamani kwa nini wa dada wasiidizi wa kazi za nyumabi hupenda kusingizia sana wababa kuwataka kimapenzi sasa hii hutumika kama defense mechanism au nini. Ukigombeza tu kosa what to do now kukaa kimya na kuona vitu vikiaribiaka au vipi.
lazima ulimtaka, haiwezekani msichana wa kazi aseme mimi nimemtaka kama akiwa nyumbani namtreat kama binti yangu na yeye ananiita baba. labda ulimwangalia vibaya, au ulimgusa vibaya. haiwezekani ndugu. wewe una tatizo.
 
Jamani kwa nini wa dada wasiidizi wa kazi za nyumabi hupenda kusingizia sana wababa kuwataka kimapenzi sasa hii hutumika kama defense mechanism au nini. Ukigombeza tu kosa what to do now kukaa kimya na kuona vitu vikiaribiaka au vipi.

Wewe ni baba au mama???
 
lazima ulimtaka, haiwezekani msichana wa kazi aseme mimi nimemtaka kama akiwa nyumbani namtreat kama binti yangu na yeye ananiita baba. labda ulimwangalia vibaya, au ulimgusa vibaya. haiwezekani ndugu. wewe una tatizo.

Hakuna tatizo lolote mkuu sema ana hulka ya uwongo hata kama kafanya kitu mpaka umkamate red handed ndo akubali kosa mfano anabaki home mwenyewe wife nae kazini then hela umeweka mahali haipo anakataaa katu ufunguo wa chumbani unauweka mahali unaukuta sivyo ulivyokuwa na wife anadetect kuna changes chumbani sasa anavyojibu kuwa hausiki lazima hasira zikupate na kumlamba kofi shida ndo hapo zinapoanza
 
mimi baba na huwa niko serious sana na maswala ya beki tatu naingilia pale tu ninapoona mke wangu sasa kazidiwa ila yakanikuta haya kaondoka kamtumia mke wangu sms ya ajabu nimechukia sana i hate these yayas
 
kwa nini kama mtu yuko kazini na anarudi home kachoka na hana mda wa kukaa na kuongea na beki tatu how come useme tena ahatabiriki
 
Back
Top Bottom