Wanawake ni watu wa kuheshimu sana

Wanawake ni watu wa kuheshimu sana

Irikorokonyo

Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
62
Reaction score
31
Piga picha upo kwenye game ya sita kwa sita, unafikia hatua ya kutoa wale wazungu, hapo uso unabadilika km unataka kukata roho na muda huo mwanamke anakuangalia unavyohangaika na uso ulivyouweka na kufikia hata wanaume wengine kulia kabisa, lakini huwezi kukuta mwanamke anakwambia au kukutangaza unavyoweweseka sana anakuhurumia kwa kukupa pole. Nawaheshimu sana hawa viumbe muda mwingine.
 
Sheeeeeeh!!!!yani heshima ipo connected na bao mmmhhh....
 
Kwahyo ww unamheshim mwanamke kisa tu bao?
Mbona hata sisi tunawavumilia sana kunakipindi hata wao wanaongea maruwani na inafikia hadi wengne hung'atwa kifuan au shingon
 
Piga tu picha uso wako unakuaje?, unakuta hadi unamtisha bt yeye anavunga tu km hakuoni vile
 
Piga picha upo kwenye game ya sita kwa sita, unafikia hatua ya kutoa wale wazungu, hapo uso unabadilika km unataka kukata roho na muda huo mwanamke anakuangalia unavyohangaika na uso ulivyouweka na kufikia hata wanaume wengine kulia kabisa, lakini huwezi kukuta mwanamke anakwambia au kukutangaza unavyoweweseka sana anakuhurumia kwa kukupa pole. Nawaheshimu sana hawa viumbe muda mwingine.

kuna mambo mengi ya msingi yanayotulazimu sisi wanaume kuwaheshimu sana wanawake. hili lako ni minor sana. BTW... sio kila mwanaume hukunja sura kwenye kupiga bao. Wengine huwa tunasmile tu na kusikilizia enjoyment!!!
 
Hahah, mkuu huu ni mfano tu, yapo mengi makubwa bt nimeanza na hili dogo, kusmile hapo naona km kuna uwalakini
 
Piga tu picha uso wako unakuaje?, unakuta hadi unamtisha bt yeye anavunga tu km hakuoni vile

jifunze kusmile ukiwa unagegeda. Kwanini ukunje sura as if ni vita au mieleka?? duuh
 
Muda kabla ya bao mbona kusmile sana tu hata storx zinaenda huku unagegeda bt muda wa bao sasa ndo utata, smile inakuja na mshangao wa ubongo hujakaa sawa uso unabadilika, jrb kuweka kioo then uone km hiyo huwa ni smile au mkunjo wa uso.
 
mkuu Tugas maada yako imeelekea kwenye hisia za kingono zaid
 
Last edited by a moderator:

Hapana mkuu, nimejaribu tu kutafakari na kuona kuna kitu fulani ambacho tunakichukulia cha kawaida sana bt kina kauzito fulani
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom