Wadada wanaotoka familia zenye uwezo ni wazito kitandani

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
1,329
2,000
Habari wana JamiiForums.

Katika uchunguzi wangu nilikokafanya hadi leo hii nimekuja kukonkludi kuwa. Wale wadada wakishua yaani fulu mashauzi, linapokuja suala la kitandani wako poor kabisa ukilinganisha na wale wakitaa.

Yaani ukitaka game la maana bora upitie uswahilini utakongoka na roho yako kuliko kuchukua hawa wa ofisi wizi mtupu baby baby nyingi lakini inapokuja swala la game utakinahi mwenyewe.
 

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,536
2,000
Habari wana JF.
Katika kauchunguzi kangu nilikokafanya hadi leo hii nimekuja kukonkludi kua. Wale wadada wakishua yaani ful mashauzi, linapokuja suala la game pafomansi yao iko poor kabisaaa ukilinganisha na wale wakitaa.
Yaani ukitaka game la maana bora upitie uswahilini utakongoka na roho yako kuliko kuchukua hawa wa ofisi wizi mtupu baby baby nyingiii lakini inapokuja swala la game utakinahi mwenyewe.
Sasa ukute wa kishua halafu wa kwetu... Kiruuuuuu
 

sister

JF-Expert Member
Nov 23, 2011
9,019
2,000
kama hajui.....unamfundisha tu......au unamtafutia makungwi wanamfundisha akitoka hapo utafurahi mwenyewe.......
 

MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,449
2,000
ni hivi sisi choka mbaya tunatamani kutoka na mademu ya kishua hapa mmeelewa kwa nini
ila wakishua wanapenda kungonoka na mademu wa uswazi kwasababu ya utamu
 

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,536
2,000
Bora Hawa Hawa wa kishua kuliko wa uswaz
Uswaz mapenzi wanayajua ila ndio ukimwi ulipojaa
Weeeeeeeeee..... utakuja kufa bila kujuwa... UKIMWI hauna makazi maalumu... Tena wa huko kuna magonjwa wanayaita kwa majina mazuri utadhani yanaliwa... Eti tezi dume... Huku kwetu ni Busha tu...

Wa kishua TEZI DUME, Wa kwetu BUSHA a.k.a Ngiri maji
 

bibi.com

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
1,154
1,225
Hakuna kitu kibaya kwa mwanaume akose mwanamke anayetaka atatafuta kila namna kujiliwaza na maneno ya mkosaji na mbaya zaidi anataka kuwaaminisha na wenzake kumbe ni yeye kapigwa vibuti mpk yuko chali. Kuwa mwanaume inahitaji akili ya hali ya juu nimeona wengi wanadanganyana ati fulani nilishalala nae kumbe hata salamu hajawahi pewa it is so sad!
 

jichopevu

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
404
250
Habari wana JF.
Katika kauchunguzi kangu nilikokafanya hadi leo hii nimekuja kukonkludi kua. Wale wadada wakishua yaani ful mashauzi, linapokuja suala la game pafomansi yao iko poor kabisaaa ukilinganisha na wale wakitaa.
Yaani ukitaka game la maana bora upitie uswahilini utakongoka na roho yako kuliko kuchukua hawa wa ofisi wizi mtupu baby baby nyingiii lakini inapokuja swala la game utakinahi mwenyewe.
Sikujua kuwa madada waliopo ofisini ndio wanajulikana kama madada wa kishua.....tafsiri mpya hii kwangu. Na yule Aneth wa pale uwanja wa fisi anaefanya kazi ya usafi wa ofisi pale posta sijui nae yupo kwenye hili kundi....aaaaghhh tired of thinking.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom