Women Logic: Her birthday- Buy her a gift. Your birthday-
Buy her a gift. Her Dad's bday- Buy her a gift. Jesus' birthday- Buy her a gift...any way krismasi njema
Kwanza nawatakieni heri ya x mas wadau .Kisa kilichotokea Juzi ni cha kuogopesha ,nina msichana yupo hapa kwangu ,juzi narudi kitoka job nakuta milango ipo wazi nashtuka naanza kutafuta nyumba...
Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kuiona siku hii tena pia kuwatakia marafiki zangu wooote wa humu jf happy Christmas msherehekee na familia zenu
thanx
Kuna watu wengi kutoka kila sehemu hasa APA bongo wananadai kuna baadhi ya wapenzi ukitembea nao wanaweza kukusababishia bahati au mikosi.
Inaweza ikawa Mme au mke.
Yaani mke baada ya kupata tu...
Kuna mtu anakuja kukuomba ushauri unashidwa hata uanzie wapi, na kupadwa na hasira, japo hasira siyo kitu kizuri.
Huyu jamaa nimeshidwa kabsa kwamba nianzie wapi kumshauri maana naona kama ni...
Kwa tathmini ya haraka niliyofanya katika kila wanaume 10 ni 4 kati yao wenye kujiamini kwamba watoto alionao ni wake wa kuzaa kwani wengi wa wanaume hulea watoto kwa imani na hawako tayari kupima...
Wanajamvi habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka...
Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.
Story yenyewe ilikuwa ivi: Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie...
Nina mpenzi wangu tunapedana sana! Nimemtoa bikra siku chache zilizopita ila tatizo anakataa katakata kurudia kufanya mapenzi tena! Nishaurini wadau juu ya mbinu za kumfanya aridhie kwa hiyari...
Habari zenu wanajamvi letu pendwa la mmu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika suala zima la mahusiano hasa kwenye hatua ya mwanzo ya kutaka kumueleza mtu wako kuwa unamuhitaji...
Merry christmass & Happy new year people. Msherehekee responsibly bana ili wote tuwe happy people.
Back to topic.
Kuna kitu ambacho nimeona twaweza kujifunza kwenye hili sakata la Diamond & Penny...
Mtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half halafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take...
Tukiwa tuna karibia kumaliza mwaka, nashukuru mungu pamoja na malengo yangu mengi katika mwaka 2014 nimefanikiwa kutotoka nje ya ndoa.
Nilikuwa nachepuka na kuna kipindi nilifika kuwa na...
Huna mpenzi toka uzaliwe au kwa namna moja au nyingine umetedwa na mpenzi wako na unahisi kusikila nyimbo tamu za mapenzi itakupunguzia mawazo hapo ni kujindaganya.
Kwa asilimia mia moja, kuna...
Katika pita pita yangu kwenye mitandao kujifunza kuhusiana na masuala ya mapenzi nikakuta makala moja inafundisha namna ya kutongoza binti mrembo na kumpata bila shinda chukua time isome halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.