Yupi ni sahihi wakumfikishia malalamiko juu ya mke

specialist88

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
1,141
617
Wana MMU, naomba kuuliza.

Kama mke wangu anashindwa kunipa mapenzi kwa kiwango na ufundi (mambo ya 6 kwa 6 ) na nikimfundisha hataki au ananijibu mkato mkato, mtu gani ninayeweza kumshitakia ili mke aelezwe vizuri na abadilike?
 
Wana MMU,naomba kuuliza,

Kama mke wangu anashindwa kunipa mapenzi kwa kiwango na ufundi (mambo ya 6 kwa 6 ) na nikimfundisha hataki au ananijibu mkato mkato,mtu gani ninayeweza kumshitakia ili mke aelezwe vizuri na abadilike?.

Huyo mtafutie mchepuko.
 
Ulimtafuta na nani Kwani?
Kashitaki kwa somo yake,asipobadilika ujue hata unyagoni ali fail huyo na kama ulishaoa basi ujue ndio kiatu chako hicho kivae tu!
 
Tatizo kila mkiona kila kitu katika mitandao mnataka kifanyike home,hapo ndipo tatizo lilipo...
 
Mmmhhh ushauri wangu hapa naamini haua maana siko ndoani mie.. but nasaidia kusuuza rungu la mwenzangu. so cjui yapeleke wapi hayo malalamiko ila siku nikifanikiwa rungu langu uenda nitakuja rasm kukupa jibu kamili.
 
CD za nini wakati waigizaji tupo mtaani...

Tutamfunza tu kama mwenye mali hawezi anaishia kulia lia...

wanawake tunanyolewa tukifumwa unajua WANAUME UFANYWA NINI???

bora mtoto wa shule kuliko mke wa mtu
 
Sisi wanaume tukae mbali na wake za watu.Au unaweza ukaoteshwa unakunya na mavi hayakatiki. Yanatoka na kuingia kama mkono wa stovu. (Nimetumia tafsida).
 
Ha ha nakumbuka bamdogo alimshtaki mkewe kwa mama kuwa hampi kila akitaka.
Mamdogo akamjibu mama"anataka kila saa kama.maji ".
Inawezekana na wewe umegeuza maji
 
Wana MMU, naomba kuuliza.

Kama mke wangu anashindwa kunipa mapenzi kwa kiwango na ufundi (mambo ya 6 kwa 6 ) na nikimfundisha hataki au ananijibu mkato mkato, mtu gani ninayeweza kumshitakia ili mke aelezwe vizuri na abadilike?

Km ww ni mkristo, mpeleke kwa Padri na km miislamu mpelekee shekhe, nukta
 
Back
Top Bottom