Napenda wanawake wenzangu

Napenda wanawake wenzangu

kilizi

Member
Joined
Dec 6, 2014
Posts
84
Reaction score
37
Naomba ushauri:

Wengi wanadhani nimependa kuwa hivi au tunaopenda wenzetu wa jinsia moja tumetaka,La hasha!

Mimi ni mrembo sana,kuanzia sura,umbo,nina akili lakini pia nimekuzwa familia ya dini sana.Nikiwa sekondari form 2 nilitokea kumpenda sana dada mmoja yeye alikuwa Advance.Alinipenda sana pia ,ila kuliishia kukumbatiana tu.

Nikiwa Advance nilipendwa na binti mmoja,niliogopa sana maana alikuwa ananipa care kupita kiasi.Uhusiano ulifika mbali zaidi mpaka nikawa mtumwa wa mapenzi.Sikuweza kula wala kufanya chochote bila yeye.

Nilikuja kugundua alianza uhusiano mpya hivyo tukaachana soon nilipomaliza A level.Nikiwa chuo nilipata boyfriend kwa mara ya kwanza.

Nilijaribu sana kuwa nae karibu maana alinipenda sana na alinipa kila kitu.Sikuwa najisikia mapenzi hata kidogo.Wengi waliniona nina bahati maana alikuwa mzuri sana,mchapa kazi na ana akili zaidi ila tu hajatulia.Nililigundua hilo nikiwa ndani ya uhusiano.Japo kila nikimkamata anasema wanawake ndio wanamtaka ila hana time nao.Pamoja na yote kwa kweli alinipenda.

Maombi yangu kwa Mungu yalikuwa na mimi niweze kuwa in love na mwanaume.Niliomba sana na kufunga.Nilijitenga na wanawake.

Nilipomaliza chuo niligundua jamaa alikuwa bado hajatulia tukaachana japo mwenyewe mapenzi hayakuwa kihivyo.Mara nyingi nilikuwa namkumbuka my x,nilikuwa mnyonge sana.Nilijihisi kwa huyo bf mimi nilikuwa kama sex mashine.

Nilikuwa mwaminifu sana ndani ya mahusiano.Baadae tukaachana, mimi nikaamua kumdate mke wa mtu.Alinipenda mwenyewe .Sikuwahi kumwambia chochote juu yangu.Ila kila wakati aliniita mpenzi,honey darlin na kunikiss kila mara.Tulifall in love ila nilijilaumu kwa kuwa sikutamani niwe na mwanamke tena ila sasa uhusiano na wanaume ulikuwa mgumu ,napendwa ila kupenda hakukuwepo.

Nikaona nitavunja ndoa ya watu nikawa namkimbia.Nikajikuta nafall tena kwa mke wa mtu ambae alikuwa rafiki yangu.

Kila wakati aliniletea zawadi na kuniambia ananifeel sana.Tulidate kwa muda kidogo nikaanza kumkwepa maana alianza kumchukia mumewe.Akiamka break ya kwanza kwangu.Ananipeleka hoteli za kifahari.Ila pia alikuwa kanizidi sana umri.

Nilipata shida sana kujitoa kwenye penzi lake maana aliapa kuniua nikimuacha.Alinipenda kiasi cha kujitoa ufaham.Nilifanikiwa kumkwepa karibia miezi 8 hivi.Namba ya simu nikabadili.

Tangu wakati huo naendelea kupata shida maana nimekuwa heart breaker.Nikiumizwa tu na boyfriend kidogo huwa sirudi tena.

Nasali sana hii hali iniondoke lakini wapi.Naumia sana,Sijui nifanyeje.Najua ni kinyume cha jamii na pia dini.Ila mimi sipendi pia hali hii.

Mimi sio tom boy na hata mtu akiniona hawezi kudhani.Nimejikuta napendwa na wanawake wengi ,sijui kwanini pia,huwa sijawahi kumtongoza mwanamke yeyote ila wao hunianza.

Ninapokuwa na mwanamke kwenye mahusiano nasikia raha na moyo unarelax.

Nifanyeje?

Hii ni simulizi ya ukweli kutoka Masaki.
 
Mmmmm, pole sana mrembo, shule bado unaendelea au umesha maliza? Usiendekeze sana moyo jaribu kuushindaa, kwanza niaibu pili utawaumiza sana wazazi wako wakija kujua, na ipo siku na wewe utapata kwako na familia zidi kumuomba Mungu....
 
Maombi ya mwenye dhambi nichukizo kwa Mungu okoka leo na Yesu a talitoa hilo pepo
 
Pole sana, sometym we are tricked by the devil without knowing. Kwa tatizo lako hakuna solution zaidi ya maombi na kukataa hiyo hali. Ukikaa karibu na Mungu, hakuna linaloshindikana. Tafuta watumishi wa Mungu, uwe karibu nao ili iwe rahisi hata ukiwaeleza tatizo lako waweze kulichukua kwa mzigo. Yesu akuponye na hiyo roho
 
kilizi

kilizi hilo sio jambo la ajabu kutokea kwa Mwanamke
Unachohitaji ni Psychiatric advise tu mambo yote yatakaa sawa.
Nikute Pm Km unataka Kusaidiwa.
 
Last edited by a moderator:
uje kanisani kwa mchungaji katunzi sabasaba yani wewe umetupiwa pepo ndio linakutesa nimeona kwa macho yakiwatoka watu hapa kanisani kila siku saa kumi ni ibada ukumbi wa ngorongoro ndani ta viwanja vya sabasaba maonyeshi jumapili.ibada saa 3 asubuhi tatizo hilo naamini litakwisha unaweza kuomba kuonana na mchungaji nakumueleza au ukaja kwenye maombi ukiuliza. mchungaji katunzi hapo sabasaba watakuonyesha
 
uje kanisani kwa mchungaji katunzi sabasaba yani wewe umetupiwa pepo ndio linakutesa nimeona kwa macho yakiwatoka watu hapa kanisani kila siku saa kumi ni ibada ukumbi wa ngorongoro ndani ta viwanja vya sabasaba maonyeshi jumapili.ibada saa 3 asubuhi tatizo hilo naamini litakwisha unaweza kuomba kuonana na mchungaji nakumueleza au ukaja kwenye maombi ukiuliza. mchungaji katunzi hapo sabasaba watakuonyesha

afunge na kusali kwanza
 
hebu weka na elimu yako kilizi na shule uliyosoma kama ni single sex au co

its time to apply principles za Sigmund Freud, Abraham Maslow, Eric Ericson et al
 
Last edited by a moderator:
kwanini kitu kidogo kikimtokea mtu watu wansema ni PEPO hizo ni dhambi tu za MTU na ndo maana whisho wa siku atadhibiwa yeye sio huyo Pepo
 
kwanini kitu kidogo kikimtokea mtu watu wansema ni PEPO hizo ni dhambi tu za MTU na ndo maana whisho wa siku atadhibiwa yeye sio huyo Pepo

Uko sahihi kiasi fulani, lakini ni mapepo ndiyo husababisha hali hii. Shetani hufanya kazi kupitia mapepo, majini, nk

Hakuna majini mema, wanaosema kuna majini wema ni waabudu shetani
 
Dada nakushauri kwanza sogea karibu na Mwenyezi Mungu. Jenga hofu kwamba anakuona,na ni dhambi.
Kama mkristo sali sana.haina haja kushirikiha mtu maana watakusema baadaye. Usimwamini mtu. Hakuna anayweza kukusaidia isipokuwa Mola wetu muumba wa Mbingu na duni.
Piga goti,ongea mwambie father najua hukukusudia hili kwangu. Naomba unieleleze.
Kama mwislam basi fanya hvyo hvyo.

Nachoweza kusema ni kwamba,ulikuwa au upo brain washed na lesbian mentality kuwa wanaume sio lile na sio waaminifu.
Kumbuka hujaumbwa kupendwa tu,pia umeumbwa kupenda. Mpende mwanaume kwa hali zote, usijekutgemea mazuri na mema kwake. Mwema ni Mwenyezi Mungu pekee. Sisi wanaume tunavyoelewa mapenzi na nyie mnavyolewa mapenzi sio sawa hata kidogo.
Sitaki kusema mengi sana. Ila jitenge na wale wanaokupeleka kubaya,na mpende Mungu kuliko mwanadamu.

Ni hayo.
Bismillah!!
 
Huwez pona hapo kwa akili zako. Hii ipo kiroho zaidi
 
Teh teh teh!
Mwenye Uwezo wa Kufufua Angeshindwa Kujiokoa na Kile Kipigo kitakatifu cha Msalabani mpaka AKAFA?
We ndo nyapi kweli,

Na huyo msela Akiwa ni mwana wa yehova Ina MaanA maria alikwa Ngoma ya Yehova Anagegeda au?

Mawazo na manen machafu sana,

Behave mkuu
 
kilizi, nakushauri muombe xana Mola wako Muumba bt @ the same time nenda kwa psychologist una matatizo pia ya kisaikolojia. huwez tu ukakaa unamuomba Mungu hlf hufanyi jitihada za kujitibu.
 
Kila jambo huanza na kufikiri yawezekana unaendekeza sana kuwa hivyo! Badili mwelekeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom