Jamani sielewi nifanyeje nahisi kuchanganyikiwa

Jamani sielewi nifanyeje nahisi kuchanganyikiwa

walitola

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
4,856
Reaction score
5,702
Habar za jioni wapendwa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nimetokea kumpenda binti fulani kiukweli tunapendana sana nahitaji kumwoa lakini kikwazo ni mahali, mama mkwe wangu anahitaji mahali nyingi mno isitoshe binafsi sina hicho kiwango kikubwa ambacho mama mkwe anakiitaji, isitoshe huyo binti ni mjamzito na mama amekataa katakata hataki kupunguza mahali isitoshe anatoa kauli ambazo imekuwa zikimuumiza sana mwanae ambae ni mchumba wangu mpaka mda huu sijui nifanyeje nawaza na kuwazua isitoshe na mimi kipato changu ni kidogo mno sasa sielewi nifanyaje ndugu zangu please embu nishaulini tafadhali.
 
Weka ndani huyo mdada mama atajiju,au huyo mdada anajua unampenda so yeye na mamayake lao moja,chunguza.
 
wee nae bwegeee kweli, sasa wataka kuoa mwanamke ambaye anabeba mimba ata kabla ya kuolewa!!! wanaume wengine bwana
 
wee nae bwegeee kweli, sasa wataka kuoa mwanamke ambaye anabeba mimba ata kabla ya kuolewa!!! wanaume wengine bwana

we ndo bwegeee zaidi kwa hiyo ulitaka akatafte mwingine asiyekuwa na mimba na akati wamepeana wenyewe kwa makubaliano yao?
 
we ndo bwegeee zaidi kwa hiyo ulitaka akatafte mwingine asiyekuwa na mimba na akati wamepeana wenyewe kwa makubaliano yao?

mwanamke yoyote anayebeba mimba kabla ya kuolewa ni mpumbavu na hastaili kuolewa na mwanaume wa ukweli. atakaeoa ujue nae hamnazo tuu.

hana shida ya kutafuta mwengine, yeye anapaswa kuendelea kungegeda tuu huyo mwanamke basi
 
Naam wanajukwaa

Nafurahi kujiunga na JF, nachukulia jukwaa hili kama ni sehemu ya kujifunza.

Takwimu za tanzania zinaonyesha kuwa kuna watanzania zaidi ya 1.2m wanaoishi nje ya nchi [rejea ripoti ya Tanzania Law Review Commission]. Naam hii ni karibu 3% ya taifa zima.

Nadhani wakati umefika sasa serikali ikapitisha sheria kuruhusu raia hawa kuweza kufaidi matunda ya uraia wa nchi mbili kwani kwa sasa wengi wanakwazwa na kuwa wakiamua kuchukua uraia mwingine inabidi waamue kuachia uzalendo wao.

Swali hili niliwahi kumuuliza mheshimiwa Sumaye alipokuja hapa Uingereza mwaka jana akakiri kuwa ni muhimu kuruhusu lakini hakuweza kutoa sababu kwa nini hasa mpaka sasa Tanzania imeshindwa kuwa sheria ya kuruhusu uraia wa nchi mbili.

Sasa hivi watanzania wengi wanaoishi Uingereza na nchi nyinginezo za Magharibi wanaweza kupata misaada kadhaa ya kuwekeza nchini mwao lakini kwa vile wengi wameamua kuwa na uraia wa nchi mbili bila kuachia uraia wao wa TZ basi inakuwa hawawezi kuwekeza nyumbani na kama watawekeza wataweka katika mfumo usio rasmi kama vile kuwatumia ndugu na jamaa pesa ili waweze kuwekeza,matokeo yake ni kuwa kwa vile ndugu hana uwezo wa biashara au kutokuwa muaminifu inakuwa ndio hivyo tena hela zinakwenda na hakuna linalofanyika,hii ina athari zaidi kwani mtu huyu hutotegemea akamhimiza mwenzie wa tanzania kuwa kawekeze nyumbani.

Naam mniwie radhi wanajukwaa nadhani ngwe yangu hapa mtandaoni italelemea zaidi katika kuwawezesha na kuwajali raia wote wa tanzania na kwa vile tuna asilimia 3% ya hawa wapo nje basi nao inabidi waainishe hoja zao ikiwemo na matatizo wayapatao,mwishowe waweze kuwa nao ni washiriki wazuri wa shughuli za kiuchumi Tanzania.

Mfano wa China ututoshe:
Kuna wachina 48 milioni nje ya nchi yao.Kuna wizara ya kushughulikia wachina waliopo nje ambayo inakuwa ni kama kiambatanishi cha wizara ya mambo ya nje ambapo wana jukumu la kuhakikisha kila mchina mwenye uwezo wa kutoa mchango kwao anawezeshwa bila vikwazo na pia wachina waliopo nje waweze kuwa wanapata habari na taarifa sahihi kuhusu hali ya uchumi,siasa,jamii nk wakati wote.

Angalia kwetu:

Balozi zetu zipo mbali na watanzania au tusema baadhi zimejitenga sana,ni kwa sababu kuwa karibu au mbali kunategemea na hulka ya balozi husika,kama ni mtu wa watu basi watu 'watajichanganya' kama sivyo basi watu hola! Nukta ni nini hapa? ni kuwa inabidi kuwe na ainisho maalum kwenye kazi za balozi katika kuwashughulikia watanzania.

Inatokea Rais anakuja kwenye nchi husika balozi anamkimbiza asionane na watanzania!

Natumai Ari mpya haitokuwa hivi na mabalozi nao watawajali watanzania hawa. Maoni yanakaribishwa, ''i stand to be corrected''

----------------------------------------------------



----------------------------------------------------
Waziri Member juu ya Uraia wa Nchi mbili
----------------------------------------------------


​



​
--------------------------------------------------------
Serikali yashauriwa kuwa makini juu ya Uraia wa nchi mbili
---------------------------------------------------------

Mkuu nataman kufanya ivyo lkn mama mkwe wangu anaongea maneno ya vitisho sana kiac ya lwamba imekuwa ikitufanya tuwaze sana coz si unajua mzaz akikasirika inaweza kuleta mikosi kwa binti yake
 
Weka ndani huyo mdada mama atajiju,au huyo mdada anajua unampenda so yeye na mamayake lao moja,chunguza.

Mkuu nataman kumweka ndan lakin maneno anayotoa mama mkwe si mazur yanaweza yakamletea mikosi kwa binti yake
 
mwanamke yoyote anayebeba mimba kabla ya kuolewa ni mpumbavu na hastaili kuolewa na mwanaume wa ukweli. atakaeoa ujue nae hamnazo tuu.

hana shida ya kutafuta mwengine, yeye anapaswa kuendelea kungegeda tuu huyo mwanamke basi

hizo ni hadithi za zamani saivi ni jambo la kawaida tu shek weli bifo yuzi then ndo inafuata fasta
 
Lipa nusu au kiasi kisha toa Ahadi ya kumalizia siku nyingine.​
 
Siku Hizi Hakuna Mahari Ukimpenda Mwanamke Unaishi Naye Kama Kawaida Bila Wasi Na Maisha Yanasonga
 
Mkuu nataman kumweka ndan lakin maneno anayotoa mama mkwe si mazur yanaweza yakamletea mikosi kwa binti yake

Mikosi ndo nini!!!

Huku Africa mzazi akiongea hata kama ni utumbo watu wanatetemeka kama vile Mwenye enzi ndo kaongea!!!

Kama anaona mahari dili mwambie amuoe yeye na ampe mimba nyingine.
 
Hiyo mahari ni bei gani >> in mkude simba voice
 
Interejensia yangu inasense kuwa hiyo vita ya mahari unapambana peke yako...yaani huyo binti yuko upande wa mama yake maana kama angekuwa upande wako hilo jambo lingekuwa rahisi sana...kwa kuwa naamini binti ana ushawishi mkubwa sana kwa mzazi wake huyo wa kike vile vile huyo binti hata ukija kuoa atakusumbua maana hana uwezo wa kufanya maamuzi makubwa hasa yanayogusa maisha yake kwa hivyo ndoa yenu itakuwa inaongozwa na mama yake akiwa kama director.....all in all wazazi tuache kuwafanya mabinti zetu kama mitaji...umasikini wako hauwezi kuisha kwa mahari ya binti bali kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa.....matokeo yake mtalea wajukuu wasio na baba mpaka bint atazeekea nyumbani....
 
Mkuu nataman kumweka ndan lakin maneno anayotoa mama mkwe si mazur yanaweza yakamletea mikosi kwa binti yake

Brother laana kama kweli mtu hajafanya kosa haiwezi kumpata.mkipata mikosi mbelen jua hayo ni majanga kam majanga mengin wala msihusishe na maneno ya mama..Mchukue mke huyo hata kwa mkopo na , malipo mungu akipenda.
 
Back
Top Bottom