Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta mke awe na sifa zifuatazo: Awe mweupe,awe na kijungu aka msembwende aka makalio makubwa,awe anatokea mikoa kati yakilimanjaro,mwanza,lindi au mtwara,awe na Elimu angalau diploma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana nina 26 yrs nafanya kazi wizara ya ulinzi, nipo Dar es salaam area naitaji mwanamke wa kuoa umri asizidi 26yrs Dini si kigezo. Aliye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa Shule moja ya sekondari Jijini Dar es Salaam kajifungua kwenye daladala Maeneo ya azizi ally baada ya kumeza dawa za kutoa mimba, Kwa lugha nyingine Tunaweza kusema mwanafunzi...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari zenu wadau, kuna rafiki yangu wa karibu ameniomba ushauri wa jinsi gani atagundua kama mchumba wake anatumia mtandao wa 0713.. kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba anatarajia kufunga ndoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The puzzle that has never been solved is:Women need sex as much as men.Then why do they sell it or why do men still pay for sex statistic shows the number of women exceeds that of men but this...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
Yani,toka juzi sina hamu ya kula,sijickii kuongea maneno mengi zaidi ya salamu kwa mtu yeyote,sina raha,usingizi hauji,najickia kukaa mwenyewe mwenyewe muda wote..kweli nimeamini kale kausemi kuwa...
0 Reactions
105 Replies
17K Views
Habari ndiyo hiyo!
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Akina dada humu ndani hamjambo,Mimi ndio kwanza najiunga na hili jamvi la Jamii forums. Natafuta girlfriand anipe kampani mwenye sifa zifuatazo: 1.Mrefu wastani, mimi urefu wangu 173cm. 2.Asiwe...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Wadau, sote tunasikia na kuambiwa umuhimu wa kuwa na Familia "ndogo". Mara nyingi kwenye enzi zetu hizi idadi ndogo ya Watoto kwa familia inahusishwa na uwezo wa kuwatunza na kuwasomesha vizuri...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Dunia ya sasa imekua Kama Kijiji, Usemi huu ni mpana mno na wenye mantiki kubwa hasa kwa mtu mwenye lengo lakujifunza au hata kujiendeleza kifikra kwa njia moja au nyingine. Leo hii kuna social...
0 Reactions
101 Replies
12K Views
Onyo: Ushauri huu unawahusu tu wale ambao walikuwa na uhusiano mzuri na baba zao. Kama unampenda baba yako na uko au ulikuwa na uhusiano naye mkawa kama marafiki, endelea kusoma ushauri wangu...
7 Reactions
69 Replies
17K Views
Habari jamani! Ndugu zangu niombe tu niseme hapa labda huenda stress zangu zikaisha au mkaongea chochote kati ya mtakavyoongea kikanisaidia. Bila kuwa na maelezo mengi ni kuwa nina demu wangu...
1 Reactions
104 Replies
14K Views
Taarifa za kitafiti ambazo zimeripotiwa kwenye jarida la Evolution and Human Behavior, zinaonesha kwamba, mtoto wa kike ambaye ana uelewano wa karibu sana na baba yake utotoni, akija kuwa mkubwa...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Je unakumbuka kisa cha wapenzi wawili waliozua gumzo Nchini Kenya. Msichana mhindi Sarika Patel kutoka familia tajiri na Timothy Khamala mbukusu kutoka Familia maskini kutoka Magharibi mwa Kenya...
0 Reactions
51 Replies
13K Views
bado tunamajonzi coz best tulimpenda lkn shetan alimpenda zaidi kwa kuamua kuutoa uhai wake mwnywe kikatili kisa ni mapenzi jaman achen tu yackie jiran. Shost almpend mkaka ambaye anasoma mining...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Salamu ndugu zangu.Mimi ni mwanaume, 28 yrs, nategemea kuoa mida ikifika. Swali: Ukiwa kama mke wa mtu, una mtoto au watoto, akatokea jambazi au lolote jitu, ikawa amri uchague kati ya mmeo au...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Uncle wangu juzi alinijia akilalamika kuwa,mkewe hamsaidii chochote kimaisha pamoja ya kuwa wote ni walimu na mishahara yao inalingana,yeye hununua kila kitu. Pamoja na kuwa nilimjibu aendelee...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Noisy sex gets man banned from home A court finds that the couple's antics violate a noise abatement order The Associated Press updated 8:49 p.m. ET, Thurs., Aug. 14, 2008 LONDON - A...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari MMU Kichwa cha habari kinachajieleza kabisa hapa kama najazia nyama tu. Malaya ni yule anaejiuza,anaenunua wadada,asiye na mke/mume. hebu nielewesheni hapo.
0 Reactions
21 Replies
15K Views
Back
Top Bottom