wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
Dunia ya sasa imekua Kama Kijiji, Usemi huu ni mpana mno na wenye mantiki kubwa hasa kwa mtu mwenye lengo lakujifunza au hata kujiendeleza kifikra kwa njia moja au nyingine.
Leo hii kuna social network nyingi na ndani ya hivyo mnayo elimu mbalimbali zitolewamo Kama mtu akiamua kuzifuatilia basi ananufaika kwa kiasi fulani, sasa inakuaje baadhi ya Ke hata kujiswafii inakuwa suala gumu.
Inamaana kwamba hizo social network zinatumika katika kusemana tuu na kuchunguza fulani kala nini fulani anatoka nani Ile hali papuchi zikiendelea kuoza.
Yaani binti ni mrembo sijapata kuona, poda imekaa sawa na wanja umependeza kwa sura sasa tatizo linatoka wapi macho yanashindwa kufika kwa bibi na kupaangalia pako katika hali gani.
Jamanii kwa mtindo huu mabinti wataendelea kulia nakusaga meno, usafii nikitu muhimu sana hasa katika ulimwengu huu wa wapendanao.