Je?mwanamke anapaswa kutunzwa hata kama ana kipato? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je?mwanamke anapaswa kutunzwa hata kama ana kipato?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tall, Apr 14, 2010.

 1. T

  Tall JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Uncle wangu juzi alinijia akilalamika kuwa,mkewe hamsaidii chochote kimaisha pamoja ya kuwa wote ni walimu na mishahara yao inalingana,yeye hununua kila kitu. Pamoja na kuwa nilimjibu aendelee kuwajibika na aache ujinga,lakini wana JF MNASEMAJE kwa watu:

  1. Wanaosema mwanamke hata kama anapesa kuzidi mwanamme ni lazima apatiwe mahitaji yote kwa asilimia mia.HUO NDIO UDUME vinginevyo utakula haramu.
  2. wanaosema maisha ni kusaidiana,alete, nilete.....TUTUMIE?.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Si aliapa atamtumza mkewe, na mkewe atamtumikia mmewe? mchango si lazima pesa, huduma nyingine anazotoa mkewe kwake ni mchango tosha kabisa. Azungumze na mkewe na si kulalamika nje ya ndoa haitamsaidia, wakae wao wawili wajadili hilo swala wazozaneeeeeeee hata siku nzima mpaka wafikie muafaka, wakishakubaliana wapozane mioyo yao kwa mechi basi yatakuwa yameisha. lkn haya mambo ya kulalamikia nje ya ndoa hayafai kabisaaaa.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Huyo mwanamke anamatatizo ..maisha ya sasa ni kusaidiana ......hasa ukizingatia mishahara yao inalingana mbona anataka kuwa bepari wa mapenzi mmh
   
 4. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  unajiskia mwanaume kamili pale unaposimamia maisha ya mke wako na familia yako kwa jumla bana, muache mke wako ,hela zake akanunulie lipstiki na vi night dress ambavyo vitakupatia hasira za mechi! kama mshahara hauruhusu ndio inabidi demu akupige jeki, lakini sio dume zima kutegemea kusaidiwa na mdada.(hapa greti thinka niko veri sirias)
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Chimunguru huyu mwanamama anatakiwa amsaidie mmewe hata mahitajia madogo hata mboga kitunguu ,mafuta ..hasa ukizingatia mishahara yetu sisi walimu ni midogo sana .. mshahara wa mzee pekee utumike kwa mwezi mzima lloh
  mwanamama awe na huruma kwa mmewe
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  YOU MUST PROVIDE EVERYTHING FOR YOUR FAMILY!......
  kwa msisitizo tu narudia,mwanaume unawajibika juu ya familia yako.....
  hizi hela za mwanamke iwe kama ziada tu......
  ukiishi kinyume na hilo UTAKULA HARAMU....
  hakika tena UTAKULA KHARAMU...........

  on the way to marangu
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  kwanza huo ni ubinafsi kabisaa
  kwa nini mwenzangu ayaone maisha ni mzigo? wakati nina uwezo wa kusaidiana naye ili kuboresha maisha kwa manufaa ya familia yetu?
  hata ukiwa mama wa nyumabani kuna mchango wako unaweza kutoa kusiadiana na mumewe kuijenga familia

  that is simply being selfish, no any othe excuse!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  [QUOTE;880556]The Following User Says Thank You to Geoff For This Useful Post:

  klorokwini (Today) [/QUOTE]

  hehehehe!
  bye bye maralia
  see you maralia


   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  mama nimetamani nikupe thanx mbili au tatu lakini ni ILIGO
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Binamu hivi mshahara wa Ticha haufiki hata laki tatu na bado makato ..hivi...on the way to Villa ...baadae
   
 11. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  bora umesema wewe manake ningesema mie wangeanza kunirukia duh....
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  tatizo moja na wanawake ni kwamba akiwa anaiendesha familia ANAONGEA SANA!......
  akiwa anairun hiyo software ANALETA DHARAU KWA WINGI

  WITO MAALUM:VIDUME TUPAMBANE TUWE TUNAJIINGIZIA KIPATO.hata kama mkeo kakuzidi mshahara,take it from me kwamba MAKE SURE UNAIENDESHA FAMILIA WEWE KAMA WEWE!.......
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  sio selfish bana, hilo jibaba ni vivu tu, mwanaume haipendezi kulalamika eti hasaidiwi maisha na mke wake, kuna siku atamwambia mke wake aende nje ili wasadiwe kimaisha heheeheh maumivu ya kichwa huanza poooole pole! mimi hata kama mke wangu anafanya kazi ikulu ya obama, siwezi kumwambiaga anisaidie maisha ,heheheeheh jino kwa jino mpaka kieleweke
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  umenichekesha na teminologi ulotumia duh!!!

  yaani wanwake wengine huwa nawashangaa na baki kujiuliza labda mimi ndo hata maana ya mapenzi sielewi!!

  I cant stand there and watch ubavu wangu aki-strain mpaka tone lake la mwisho la damu...

  where is the love then!!! hakuna cha kuapa eti utamtunza mkeo nayeye kukutumikia...
  haya maisha bila kusaidiana hamfiki popote, dunia imebadilika bana!!

  REMEMBER!! A husband and wife are wings of the same bird, if one is broken the bird won't fly........
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135


  hehehehe!
  bye bye maralia
  see you maralia


  [/QUOTE]

  heheheeh hapa no komenti
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Klorokwini umeona wasiwasi wenu hapo juu??

  hapa sasa ndipo suala zima la mke mwema huja!!
  hivimie na akili zangu timamu n aupendo wa ngu wa dhati kwa mume wangu tena wa ndoa, hayo mayowe nikipiga yanasaidia nini??
  je hiyo aibu ninayomtia mume wangu si ni aibu yangu pia??
  ....na ninyi wawili mtakuwa hata kama mwili mmoja....huwa kweli tunaelewa maana ya maandiko au tumegeuka kuwa kasuku??
  wanawake hebu tuige busara za Abigaeli......
   
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hii ni pointi nyengine muhim sana,mwamba umekula senksi ya JF mpya!
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  bht.
  ukiamua kusaidia sio mbaya ,lakini sio wajibu wako,ni upendo tu, hii kesi hapa ni jibaba linalalamika halisaidiwi hii ndio inaleta x-ray (picha) mbaya. Leo greti thinka niko veri sirias. jana nilienda lunch na operah heheeh
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  UNAONA SASA MA-GREAT THINKERS!....
  umepiga pale pale!

  ninayo mifano halisi ya ndoa ambazo wanawake wanaendesha familia.....
  MY FRIEND!
  IT'S A HELL OF LIFE
  wanawake sio watu bana
   
 20. T

  Tall JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  geof nadhani wanaume wote wamekusikia.hakuna siasa kwenye mapenzi.
   
Loading...