Habari za masiku.
Ni mara ya tatu narudi kwenye jukwaa kwa sababu ile ile.Nipo tayari na nimejiandaa kuwa mume bora.Nina imani humu nitampata mke bora wa maisha yangu.
Aliyetayari kuwa mke bora...
Habari na heri ya mwaka mpya ndugu zangu.
Mimi ni mwanaume wa miaka 27 now,nipo Moshi mjini Msaranga.Elimu bachelor degree of banking and finance,mchaga wa Oldi moshi,mkristo safi Lutherani,mrefu...
Habari,
wanaume mje tusemezane....
hivi ukifa leo umeiandaa vipi familia kukabiliana na maisha? na kama una watoto wadogo ambao wanakutegemea umeandaa vipi maisha ya watoto mara utakapotoweka...
Mimi nipo Chuo kikuu mwaka wa tatu kuna msichana nilikuwa nataka kupiga na kusepa.
Ila nkakuta ana mambo adimu nikawa nimenasa kwake nikashindwa kutoka Ofcause ni mzuri na anatabia nzuri...
Ukishajijua wewe ni mchepuko hutakiwi kuwa na wivu hata kidogo, tambua umepewa hisani tu! Mambo ya kumfuatilia mtu wakati ushajua ana mtu wake wa permanent ya nini! Unampigia simu usiku wa manane...
Habar zenu wandugu wote humu! Nakuja namna hii.
Wasomi wawili wa shahada ya pili Udsm, sasa ni wa ajiriwa. Watu hawa wamekuwa wapenz tangu darasani, wakishirikiana kwa hili na lile hadi walipo...
Mawasiliano wazi vikiwemo vicheko na utani ni mambo ya muhimu sana katika mapenzi. Na utani mara nyingi huishia katika vicheko jambo ambalo ni jema si kiafya tu bali pia katika uhai na afya ya...
Wana Jamii Forums, hebu nipeni uzoefu wenu, ikitokea kuwa unampenda sana mke wako na ndugu zako wewe mwanaume almost wote, kuanzia wazazi, wadada, kaka, wajomba, mashangazi wote hawampendi mke...
Msaada tunaomba ushauri.
Wifi yangu anaota akifanya mapenzi kila siku na maumbile tofauti, leo kubwa kesho dogo, usiku wa leo kaota anado na mwanaume mpana sana hadi tumbo linauma kwa chini...
Habari wana Jamii Forums.Nikijiulza kwanini wanaume wa kiislamu wamekatazwa kuvaa dhahabu na wanawake wamehimizwa kuvaa dhahabu.
Mtaalam 1 akaniambia dhahabu inachochea homon X ambayo ni ya kike...
Nakaribisha PM kwa mdada mwenye nia ya dhati ya kuolewa. Sifa awe mkristou umri wake usizidi miaka 29.
Mwenye mtoto 1 ruksa,asiwe mnene na asiwe mweusi,awe anajua kusoma na...
Habari wana Jamii forums.
Natafuta mume wa kuishi nae.Awe kati ya miaka 32 hadi 35.Awe mkristo nimeajiriwa Serikalini na Nina mtoto mmoja.umri wangu ni Milka 29,Elimu yangu ni shahada ya...
Salaam wana MMU.
Ni jambo nimeliona tujadiliane ili kama kuna sehemu wazazi huwa tunakosea, tujisahihishe.Watoto wawili wa kiume ana umri wa miaka mitano na wa kike miaka minne walikuwa wanatania...
Aisee asikwambie mtu, mi ni mroho wa shape za kibantu zilizojaaliwa kalio la kutosha kumtoa nyoka pangoni. Sikosi kugeuka nikiona sampuli ya hivyo ikipita nasindikiza kwa macho hadi anakoishia ama...
Miss Colombia crowned Miss Universe; Miss USA runner-up
MY TAKE:
..Huyo demu wa colombia (Paulina Vega)ni wa ukweli hakika.....hawa majaji si magumashi kama wa kibongo wanaohongwa...
Ni kitabu cha aina yake kinachoangazia changamoto za kizazi hiki kuhusu ndoa na mahusiano, hakuna aliyekisoma akajuta.Umewahi kukiona au kukisoma. Angalia hapa chini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.