Noisy sex gets man banned from home | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Noisy sex gets man banned from home

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BiMkubwa, Aug 15, 2008.

 1. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2008
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Noisy sex gets man banned from home
  A court finds that the couple's antics violate a noise abatement order
  The Associated Press
  updated 8:49 p.m. ET, Thurs., Aug. 14, 2008

  LONDON - A British man has been banned from visiting his girlfriend's home after neighbors complained about noisy sex, a local official said Thursday.

  A court barred Adam Hinton, 32, from being within 110 yards of his 29-year-old girlfriend Kerry Norris' apartment, Brighton and Hove City Council spokesman Mike Taggart said.

  Residents of Norris's publicly owned home had been complaining since 2006 about thumping music, banging headboards and screamed obscenities, Taggart said.

  Neighbors also complained about Norris sunbathing naked in her yard, and were upset that a 6-year-old child in the building had been "subjected to the sort of obscenities you wouldn't want a 6-year-old to hear," the spokesman said.

  "She is a classic nightmare neighbor," Taggart said, insisting the case was not about sex. "It's about allowing your neighbors to have a normal decent life without being disturbed."

  The court granted the city council's request for an injunction banning Hinton from the apartment because Norris had ignored a previous court order demanding that she be more quiet, Taggart said.

  Norris last week was forced to pay $560 in fines and court costs for breaking the "noise abatement order," Taggart said.

  Neither Norris or Hinton could be immediately located for comment. Brighton and Hove is located in southern England.
   
 2. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  wangekuja huku kwetu uswahilini ... nyumba hazina ceiling board kila kitu kiko wazi kama una watoto unawasha radio mwenyewe bila kutumwa .... asubuhi mkionana unainama wewe kwa aibu ... kuna mwanamke mmoja alilalamika kwamba yeye mumewe hulia kama mbuzi / beberu akikata roho sijui ni kweli
   
 3. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Dadangu kwenye hizi mada wewe wa kwanza kupost mhhhhhhhh!

  She is a classic nightmare!

  Haya mambo hapo kwenye kelele ni uzembe tuu.Kwa Ushauri wa bure wale wapiga kelele hamna lolote do pool bed kila siku labda utaacha.
   
 4. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tulia mdogo wangu usikie mambo ya dunia .. duniani kuna mambo ... ukianza kushtuka mapema ... shauriyako ... kwani umefuata nini huku kwa wakubwa
   
 5. m

  mTz JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2008
  Joined: Aug 20, 2006
  Messages: 283
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bao huwa linakuwa tamu ila kelele zikizidi inakuwa noma, kama kelele ni over and above dawa ni kushindilia tambara mdomoni :) (just kiddin)
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,882
  Likes Received: 83,364
  Trophy Points: 280
  LOL!...Naima, aibu ya nini na mtu alikuwa anajiburudisha na mamsap wake!!!
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahha mzee inaonekana mzoefu sana wa kunyazima kelele za kimahaba, sasa kama ni kaka anaye piga kelele inakuwaje? naye azamishwe tambara?

  Ushi
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,882
  Likes Received: 83,364
  Trophy Points: 280
  LOL! Ushi....Hata kama ni kaka weka kitambaa pembeni akianza kupiga mayowe basi ashindiliwe kitambaa mdomoni...nyumba za kupanga zina matatizo yake!! Ukiwa na nyumba yako kila kitu ni mswano tu.
   
 9. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0

  Hii ni kweli kabisa Naima, Kuna mmoja yeye akikaribia anaanza, "hodi!, hodi!, hodi!, Hoooooooodiiii!" Kwa sauti ya kutetemeka na kisha anaapoanza kupiga bao hunena lugha ya ajabu kama mtu anaweweseka usingizini mpaka anamaliza.
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hii Kali kabisa!! kuna mdada mmoja alinisimulia kuwa aliachana na boyfriend wake maana njemba inapokaribia huwa inazimia kwa sekunde kadhaa kwa kupoteza fahamu, dada wa watu aliona jamaa asije mfia bure ikawa kesi ya mauwaji..kuna mambo kwenye hii kitu...

  Ushi
   
 11. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2008
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Huyo akafanye check up ya MRI wajue kulikoni. Ndio ukute mtu wa aina hiyo anakata roho ghafla wachawi wanaanza kutafutwa.
   
 12. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2008
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Simulizi ya kweli na imetokea mitaa ya Sinza karibu sana na kanisa la Sabato lililopo karibu kabisa na daraja linalounganisha Sinza na Tandale uzuri. Kuna nyumba moja ya wapangaji lisilokuwa na dari.
  Kama kawaida ya wanawake wa kiswahili kushindana mavazi, chakula and the like. There was a lady who was engaged to someone I know and was living in that house. Basi mashindano yakahamia kwenye kule kwenyewe, yaani nani anampa raha mumewe kuliko mwingine. Kipimo ilikuwa ukelele atakyotoa mume.
  Mwenye kushinda ni yule atakayewatia wivu na donge wenzake. Ilianza kama mzaha, mmoja alifanikiwa siku hiyo, akajua amewakata kilimilimi. Mwe! Usiku huo ilikuwa patashika kwa wenzake wawili, kuhakikisha wanaweka rekodi na wao. na kweli wakafanikiwa. Mwenye kuyaanzisha akasema atawaonyesha njia kuwa yeye ni kawaida yake. Basi it went on for sometime, mpaka masikini wale waume zao wakajikuta wako katikati ya mashindano hayo bila kujitambua.
  I do not know how it went ila mmoja wao aliyekuwa dereva wa wizara moja akajitutumua na kununua boards za kuweka dari. Mashindano yakahamia kwa mavazi ya watoto. Its quite sometime but this is a true story.

  Therefore kama uko katika mazingira kama hayo usishangae unakatikiwa viuno kupita kiasi ukafikiri mzuka umempanda mtu..........:)
   
 13. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  m m m m m, JF kuna mambo, haya hodi karibu!
   
 14. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hakianani vile utaua .. simo kabisa
   
 15. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2008
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ana pepo huyo. anaweza hata kukutwanga mingumi
   
 16. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Duh!
  Kutoa milio ya kimahaba nafikiri ni natural tatizo linakuja pale ambapo hizo sauti zinapitiliza...
   
 17. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Dmussa hebu msome Hofstede na staili ya hoooodi ... balaa ... tukisema kila mmoja aweke wazi style yake ... itakaaje hiyo

  Kweli mtu akipitiliza tena inakuwa karaha ... je wa kimyakimya anamaana hapati raha ??
   
 18. BadoNipo

  BadoNipo Senior Member

  #18
  Aug 18, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kwi kwi kwi - kazi kweli kweli
   
 19. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #19
  Aug 18, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Naona hao wanaopiga kelele ni washamba fulani , kuna ya kufanya zaidi ya hayo
   
 20. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
   
Loading...