Wanaume ni Baba zetu, lakini nimeumia sana kuona baadhi ya wanaume wanaopewa heshima ya kuitwa baba kuwa na Roho za kinyama.
Kuna binti ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya msingi alibakwa na...
Kulala.
Kukula.
Kupendeza.
Kuzaliwa.
Kufaulu.
Hata binti mmoja huku Jamii forums anaanza na ku nawewe mwanao ukitaka awe mzuri mwite Kukurito, kukoryne, kugocosta, kama mshabiki wa mpira...
Msemo huu umekuja baada ya kuanza kama utani mimi na mke wa bosi. Mwanzo mwanzo nlikuwa namuogopa na kumheshim sana, ila kila kadir siku zilivyokwenda na ndo jinsi na mimi uoga ulivyozid kutoweka...
Hii mada jamani naileta kwa wema tuuu, kabla jazba haijakupanda sikusemi wewe manake sikujui. Kwa wema tu unaweza ambulia mawili, matatu.
Mtaani napoishi kuna shosti wangu, mtu mzima lakini ana...
Siyo mbaya tukibandilisha uzoefu na uelewa wetu kuhusiana na Mada inayotajwat hapo juu, hii ni kwa watu wote mwenye melango ya kuzaa watoto.Swali la kujiuliza kabla hujachangia hoja yako.
Ni kwa...
Wanajukwaa mpo.
Leo nimeona nije na hili jambo maana siku nyingi threads mbalimbali zimekuwa zikitoa lawama kwa victims wa hii kitu aisee,
Kwanza kabisa naomba kukiri kuwa mimi ni mwenyej sana...
Poleni na majukumu ndugu,I hope you're all fine.
Kuna kitu kinanisumbua kiakili wakati mwingine inaniingia automaticaly nabaki kujiuliza "why I'm falling in love with a girl who can't fall in...
Kila mwanamke anavitu vyake alivyojiwekea, ambavyo anataka mwanaume wa Ndoto zake awe navyo. Ikitokea akampata Mwenye hivyo vitu basi huona kamaliza kila kitu, anajisahau, anafurahia vile...
Katika huu mtaa wetu wa MMU ungependa kukutana na nani live? Eleza kwa ufupi step by step mwanzo hadi mwisho munaagana amekupa siku nzima!
Je, wewe uliyetajwa ungependa kutoa nafasi kwake...
Heri ya Mwaka mpya marafiki zangu! yaani nyie acheni tu wallahi ! nilikaa nikasema lini nitapata muda wa kuwajoin hapa marafiki zangu nikaona nimetaitiwa ile hasa. Asante Mungu leo niko free japo...
Ben si nimekariri hobbies, sasa kila demu akiniuliza , "Ben hobbie yako nini"? majibu yanakuaga, Swimming, reading novels, listening to music and going out. Sasa kiranga kilichonipata jana...
Kaka zangu na dada zangu.
Is it normal x wife kumualika x husband na mkewe dinner.Mama mkwe wangu widowed anafanya dinner kumualika baba mkwe wangu na mkewe .Waliachana miaka 40 iyopita...
Vincent Brothers
Nyumba waliyokuwa wakiishi familia yake
Ramani ya Nyumba
Ushahidi wa kumtia hatiani ulipatikana katika kifaa hiki
Jaji Michael Bush
Mwendesha mashitaka Bi, Lisa Green...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!
PG 30 manake PARENTAL GUIDANCE YA HUU UZI NI 30 YRS AND ABOVE. Haya vishtobe mkalale msijikomaze bureee.Na wale watu wazima...
Habari za wikendi ndg wanajf. Ninawaomba msaada wanasayansi mliopo humu pamoja na wale wenye subjective experince juu ya karanga hasa mbichi na suala la mapenzi. Je ni kweli kwamba karanga...
1. She must be God-fearing.
2. She must not be materialistic.
3. She must show signs of being a good home maker.
4. She must show signs of discipline.
5. She must always be sensitive to your...
Kwa wasioijua mbata, ni kofi zito la mkono uliokunjuliwa na vidole kunyooshwa huku mkono ukiwa umekazwa, mara ya mwisho kupigwa mbata ilikuwa kidato cha pili miaka zaidi ya 20 iliyopita.
Ilikuwa...
Ni mdogo wangu, kazaa na jamaa na huyo jamaa hakumuoa kisa anadai hawakupanga kumuoa mdogo wangu kaonaisiwe tabu kwakua anakazi yake anamlea tu mtoto wake vizuri.
Ukweli mdogo wangu anampenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.