Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari humu ndani.Ni mategemeo yangu wote wazima na kama kuna mgonjwa Mungu amponye. Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kwa ajili ya rafiki yangu kipenzi.Ana umri wa miaka 20 anaishi Dar es salaam...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
habari za asubuh wadau,, hiv tatizo la kuwah kumaliza wakat wa tendo la ndoa na uume kuchelew kusimama again hadi kufikia dk 10 mpak 15 linaweza kbsolved kwa njia ipi nyepesi na ya kawaida
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mara nyingi wanaume wanaojielewa wamekuwa wakichukinzwa sana na utaratibu wa kuvaa nusu uchi kwa mwanamke wa kiafrika mwenye umbo zuri katika sehemu nyeti. Mfano: Mapaja na matiti, ya mwanamke wa...
1 Reactions
47 Replies
8K Views
Mtoto mkubwa wa dada yangu alitokea kupendwa na kila mtu kuanzia kwenye Familia mpaka majirani. Alikuwa ni "Golden Boy". Matokeo yake ya IV alitoka na 5A's, O'level alifanya vizuri sana mpaka...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Huyu mwanamke wakati tunaoana alinikuta na mwili wangu kama warioba vile. Lakini sasa imekuwa kero kwa sababu kila mara huwa ananisimanga kuwa nimezidi kuwa mwembamba anaongea hivyo wakati yeye...
2 Reactions
104 Replies
12K Views
Niliagiza house girl yapata miezi 10 imepita ili achukue nafasi ya aliyekuwepo ambaye sasa nimempeleka ufundi baada ya kumlea first born vizuri. Juzi nimepata second born ila huyu house girl...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Wana Jf nimemis sana PJ sijamuona humu kwenye uwanja wetu mida sasa yeyote anayejua taarifa zake aniwakilishie...najaribu kumtafuta kwa simu hapatikani..ni jambo jema wana fj kujualiana...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Natafuta rafiki wa kike mdanyakazi na ambaye anajitambua mwenye kupenda maendeleo tafurahi sana anaweza kunitumia sms kwa 0713164090
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mdada anakaribia mwezi wa tatu ajaona siku zake kaenda kucheki ujauzito hana yani matatizo tumbo lina muuma chini ya mbavu za kushoto. Anahisi kukojoa mara kwa mara,pia amekuwa mnene.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane. Umri wangu...
3 Reactions
171 Replies
19K Views
Kumekuwa na fujo kubwa kati ya wanawake na wanaume,wanapoamka asubuhi kitu cha kwa kwanza ni kufikiri namna gani wataweza kuwavutia wasichana, na namna gani ya kuweza kuwavutia wanaume kwa upande...
3 Reactions
87 Replies
13K Views
Haka kamsemo nakakubali sana japo kama kamekaa kiupande upande hivi! Jinsia pinzani najua italalamika sana ingawa kuna ukweli fulani. Mke akisikia kuwa mumewe ana nyumba ndogo ama mchepuko na...
0 Reactions
88 Replies
6K Views
Watafiti wa Brazil wabaini mtindo huu kwenye Tendo la ndoa ni hatari kwa wanaume. Wanasayansi Nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi kwenye tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa...
2 Reactions
181 Replies
38K Views
Kwa kweli wadau sio kila mwanamke anaevaa sketi basi anapaswa kuolewa . Wanawake wa kipindi hiki wamekua wabinafsi wanaojijali wenyewe na familia zao tuh yaan mama , baba yake au wadogo zake tuh...
2 Reactions
77 Replies
10K Views
Kwa kawaida sisi wanaume ndo tunakawaida ya kuambiwa na wadada tumewapotezea muda sasa mfano utongonzwe na mwanamke umkubalie mule tunda adimu halafu baada ya muda anakuacha atakua amekupotezea...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau is this fare eti sipendi kazi yako kisa nipo mochwari kwani hiyo dressing table unadhani imetoka wapi.
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Ukichunguza mtaani kwenu (huku kwetu kuache nshakusaidia) watu wenye maisha mazuri wawe wa kike/kiume hawakimbilii kuolewa/kuoa. Nikiangalia marafiki nao hivyo hivyo. Kilchonstua zaidi hata...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
.... When it comes to the female orgasm, most guys are confused. This is understandable considering that many men are clueless regarding the different types of orgasms and stimulations that...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne. Welcome.
2 Reactions
32 Replies
3K Views
0788557751
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Back
Top Bottom