Unaweza kushangaa na kujiuliza maswali mengi maana kuchepuka si jambo jema.Yeye kanipongeza kutokana na kwamba nimeweza kuwahi nyumbani pamoja na kwamba ijumaa kunakuwa na foleni ndefu ya magari...
Poleni wadau.
Nina swali moja nataka kuuliza kwa wanajamvi,hivi mapenzi yana chuja na kwa nini yachuje.
Nauliza hivi sababu rafiki yangu analalamika every day mpenzi wake kabadilika.
Mpaka...
Unakuta mwanaume anampeleka mchepuko nyumbani kwake anapoishi na mkewe tena wanabanjuka kitandani anapolala mkewe.
Haya si matusi jamani na dharau au ufahari kwa wengine,acheni hizo wanaume...
Binadamu haishiwi maharifa kwa kweli. Mara nyingi nimekua najiuliza hivi hawa walinzi wanapata muda kweli wa kushiriki tendo la ndoa ukizingatia makampuni mengine hayana rotation yaani kila siku...
Habari zenu jamani, kuna dada mmoja nilimpenda sana tukiwa form 4, nilivyojaribu kumuambia akaniambia nisubirie tumalize shule, Na mimi nikamuelewa kwa sababu nilikuwa na malengo yangu...
Wakuu heshima mbele nimekuwa napata ofa za mabarmaid kila ninapoenda kupata moja baridi katika baadhii ya bar ninazopenda kunywa.
Huwa sizipendi ila unakuta wanaleta wanalazimisha kufungua na...
Kunamambo napenda tuyazungumze kwa wale waliondani ya ndoa ili tuimalishe ndoa zetu pia hii itawasaidia hata wale wanaotaka kuingia au kuanza mahusiano wadumu kwenye ndoa zao:
1.Nijinsigani...
Hbr kwa ujumla nimeona nililete kwa wanawake ili tuongez umakin kucha ni urembo mzur lkn pia unamadhara hasa wkt wa kujisafisha sehem nyet endapo utaingiza kidole na kwa bahat mbaya ukaleta...
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri bado sijamjibu hebu nawe nisaidie " yeye siku moja alikuwa anatizama picha alizo post mkewe katika instagram akakuta karibu watu wake wote wakaribu picha zao...
Sina nia ya kueneza hofu na woga ila kwa sisi watu wazima wenye watoto wadogo umri kuanzia siku moja miaka mitano ni vizuri tuchukue tahadhari.
Tujue kwamba tunaishi kwenye jumuiya ya watu wenye...
Kuna kamsemo alisema
Robert Mugabe (Zimbabwean Presiden):
"Sometimes you look back at the girls you spent money on instead of sending it to your mum and realise witchcraft is real"
In direct...
Habarini.
Mimi ni kijana nina miaka 40 nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara,
niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita.
Tulishindwana na bahati...
Mimi ni mwanaume natafuta mke mwenye makalio ya haja maana ndo ugonjwa wangu, pia kifua kisiwe kikubwa sana cha wastani. kama upo tayari njoo pm nikuweke ndani.
Mwaka mpya na mambo mapya. umri...
Ilikuwa juzi kwenye heka heka za kusheherekea pasaka mimi na demu wangu.
Maeneo ya barabara ya chuo kikuu (UDSM) inayoelekea changanyikeni nikawa nimepaki gari pembeni kidogo na barabara siku...
Haya haya kumekucha,ile siku ya wapendanao imekaribia.Kwa wenye mapenzi ya msimu na matukio maalum muda wenu wa kuumiza vichwa kwa ajili ya zawadi na namna ya kutoka.
Kwa wale wenye mapenzi ya...
Relationship statuses explained:
Married: one who is united to a person of the opposite sex as husband or wife in a consensual and contractual relationship recognised by law.
Separated: when...
Naamini hamjambo.
Wale tusiopenda habari ndefu tuendelee na mambo mengine kwani karama ya kufupisha haijanipitia bado ila naitaka.
Leo nilikuwa nikiperuzi gazeti la kila siku la THE CITIZEN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.