Naitwa Geofre wa Mbeya Tz nna miaka 24 ni muajiriwa,ni mrefu,rangi maji ya kunde natafuta mchumba mwenye vigezo vifuatavyo.
1.Awe mweupe au maji ya kunde.
2.Awe mwembamba au mwenye...
Binti wa rafiki yetu mpendwa amesoma vizuri na kupata ajira, alimuintroduce nyumbani boyfriend wake wa muda mrefu tangu yuko chuoni. Kijana maridadi sana, anaheshima, mstaarabu, kwakweli rafiki...
Mara nyingi sana nimekuwa nikisoma mada, michango, maoni na hoja za wana member humu Jamii forums.kumekuwa na mada zinazoongelea kuhusu maswala ya kuzama chumvini huku zikinadiwa na watu...
Hii sio haki kabisa. Kwangu anabana. Eti mpaka ndoa. Kumbe kuna boya linakula wakati mimi nawekewa vimulimuli. Yaani unaweza ukaua mtu hivi hivi na usijutie Lolote.
Unajua inafikia akipindi urafiki unavuka mipaka kama hii.
Mimi nilikuwa na rafiki yangu mmoja tulizoeana sana mpaka tukawa kama ndugu, tuliaminiana sana, lakini kuna jambo moja ambalo mpaka leo...
Heshima mbele wakuu.
Naomba kujua toka tarehe ya kujitambulisha na kupangiwa mahali. Unachukua muda gani mpaka kuipeleka mahali ukweni
maana nataka kutolewa roho kipande hiki.
Ndoa ya shost ina miaka mitano sasa, kumbe kuna kigori kinamkosesha raha mume wake, mume amesharusha ndoana mtoto anatoa nje, siku ya siku mtoto ameingia line.
Mume mate yalimtoka, akifikiria...
Sijui nianze vipi, lakini kwa ufupi kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu sisi wanawake wa tanzania nasema kwa niaba ya wengi tumechoka na mfumo dume.
Kila mahali unaenda unakuta midume...
Habari zenu wanajamii forum
Hivi hii tabia ya wanawake kuvaa khanga moja yaani hamuoni hata aibu jamani? Mwenzenu juzi kati yamemkuta kwanini ile kanga isipeperuke wakati akiwa sokoni...
Utafiti wangu mdogo tu na usio rasmi nimegundua ya kuwa akina dada zetu wengi na hata mademu zetu bila kusahau na wake zetu huwa hawapendi kama si kutaka pia kununua taulo zao za usafi ( sanitary...
Tanga waja leo waondoka leo,inasemekana ndiko mapenzi yalipozaliwa.
Huku bara kijana aliyeoa mtoto wako wa kike tunamwita Mkwe.Ila kwa Tanga wanaita "Mkaza Mwana".Ni hayo tu wakuu,ukiitwa namna...
Habari.
Mimi ni kijana miaka 25,natafuta mdada au mmama aliyenizidi umri kwani ndo nawapenda ni kijana nimeajiriwa na Elimu yangu Chuo kikuu awe na hela au asiwe na hela yote sawa ila awe...
Kabila langu ni Mkwe.re. Nilizaliwa katika Kijiji cha Mdaula, Chalinze, miaka ishirini na nne iliyopita. Wazazi wangu walinipa jina la Tunu.
Nilikuwa mtoto wa kwanza katika familia ya mzee Rajab...
So, you're at this bar and you met this guy you've been talking to for like, 25 whole minutes. He buys you a few drinks and suddenly your friends are ready to leave. You tell him it was nice to...
Nawaona watu jinsi ambavyo majasho huwatoka kukimbizana na vikao na michango. Wengine wameishi miaka na wana watoto lakini sherehe inavyoandaliwa utadhani wana mwaka mmoja wa kufahamiana. Vitu...
Nimekuja kwenu wanajamvi kutaka ushauri kutoka kwa kila mmoja wenu.
Ni kwamba kuna demu nilikutana nae hapa town Dar es salaam mwaka juzi wakati yeye amemalza chuo UDSM.Sasa kiukweli nilimtamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.