kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Unaweza kushangaa na kujiuliza maswali mengi maana kuchepuka si jambo jema.Yeye kanipongeza kutokana na kwamba nimeweza kuwahi nyumbani pamoja na kwamba ijumaa kunakuwa na foleni ndefu ya magari maana watu wengi wanawahi kutoka maofisini kwa sababu ni ijumaa.
Ila ningematwa na Traffic ningepigwa faini ndefu maana kuchepuka ni kosa kisheria. Kwa hapo hata wife angenilaumu kwa nini nimechepuka ila kwa sababu sijakamatwa na nimewahi home kafurahi na kunipongeza.