Wana MMU mnapo honga msijisahau sana

Wana MMU mnapo honga msijisahau sana

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Kuna kamsemo alisema

Robert Mugabe (Zimbabwean Presiden):
"Sometimes you look back at the girls you spent money on instead of sending it to your mum and realise witchcraft is real"

In direct translation:
Muda mwingine una angalia ulipotoka, pesa ulizotumia na wanawake badala ya kuzituma kwa mama yako na kugundua uchawi upo

Waswahili wanaitaga limbwata

cc: Kibo10
 
Principle ni moja tu: usihonge mchepuko more than they way you provide to your family. Ukishajiona unahonga more than what you pump in to your family, smell a rat and piga fumigation!

Hapo ujue mchepuko umekukoleza kwa mahaba.....
 
mchawi wenu ni nyie wenyewe na tamaa zenu.
 
Na msipohonga mtaitwa mario na mtamegewa sana.

naomba usiniquote tafadhali.
 
unapohonga honga kwa akili usijisahau ikajua umependwa sana
 
Mie ndio bingwa wa kuonga...nimemjengea nyumba mchepuko bila hata kujijua....nashangaa siku hiyo baa tumekolofishana ndio ananichana laivu...ooohh mwanaume hata haujielewi na nyumba nimejenga kwa hela zako wakati we bado umepanga....
 
mchawi wenu ni nyie wenyewe na tamaa zenu.

Sio tamaa ndio maana dushee linasimama dede likiona mazingira hatarishi...iyo kataka sir God
Kama unabisha nikuse uone inavodedea....
 
Mie ndio bingwa wa kuonga...nimemjengea nyumba mchepuko bila hata kujijua....nashangaa siku hiyo baa tumekolofishana ndio ananichana laivu...ooohh mwanaume hata haujielewi na nyumba nimejenga kwa hela zako wakati we bado umepanga....




mkuu mfuko 1 wa sement huwa ni shi ngapi
 
Kwa hilo namshukuru muumba wa mbingu na nchi..
 
Mie ndio bingwa wa kuonga...nimemjengea nyumba mchepuko bila hata kujijua....nashangaa siku hiyo baa tumekolofishana ndio ananichana laivu...ooohh mwanaume hata haujielewi na nyumba nimejenga kwa hela zako wakati we bado umepanga....

Mungu wangu na mariaaaaa
 
Sio tamaa ndio maana dushee linasimama dede likiona mazingira hatarishi...iyo kataka sir God
Kama unabisha nikuse uone inavodedea....

akili zingine!!! ndio maana ulijenga bila kujijua, hakukosea yule mwanamke kwa yale alokwambia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom