Ofa za mabarmaid zinaniudhi!

Ofa za mabarmaid zinaniudhi!

Skillionare

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
1,190
Reaction score
528
Wakuu heshima mbele nimekuwa napata ofa za mabarmaid kila ninapoenda kupata moja baridi katika baadhii ya bar ninazopenda kunywa.

Huwa sizipendi ila unakuta wanaleta wanalazimisha kufungua na mimi huwa siwapi offer in return kuonyesha sipendi hizo offer zao, nipeni style ya kuzikataa.
 
wakuu heshima mbele nimekuwa napata ofa za mabarmaid kila ninapoenda kupata mo
ja baridi katika baadhii ya bar ninazopenda kunywa huwa sizipendi ila unakuta wanaleta wameshafungua na mimi huwa siwapi offer in return kuonyesha sipendi hizo offer zao, nipeni style ya kuzikataa........?! 🙂

Wambie. No Thank You
 
du unajulikana na mabarmade kibao yaonekana!
 
Samaki mwenyewe kutoa mafuta huwa anakaangwa na mafuta yake mwenyewe. Hivyo tafakari chukua hatua.
 
wakuu heshima mbele nimekuwa napata ofa za mabarmaid kila ninapoenda kupata mo
ja baridi katika baadhii ya bar ninazopenda kunywa huwa suzipendi ila unakuta wanaleta wanalazimisha kufungua na mimi huwa siwapi offer in return kuonyesha sipendi hizo offer zao, nipeni style ya kuzikataa........?! 🙂
Kwanni wakupe offer wakati bar maids hawatengenezi hela nyingi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom